Hata vichaa wanapenda...Nimeshuhudia

Ok kwa namna hiyo kichaa chake kitakuwa kinapanda na kushuka so kikitulia anakuwa na hamu ya mapenzi na kuelewana
Nafikiri hata kwa vichaa wa kawaida kuna wakati huwa wastaarabu sana....hujawahi kuwaona?

Haswa...ila kwa ugomvi wa mawe kaa mbali...kizuri kabisa hatukuwahi kusikia amembonda mke wake..sijui kwa sasa
 
Lol
Ugomvi wa mawe huwa mbaya sana hasa gizani....
Hahahahaaaa kurushiana mawe gizani ni mbaya sana aisee

Hapo acha tu ukichanganya na mkoa wenyewe wa Mara unapata jibu.....nyakati zile mawe ni silaha murua
 
Sie wala hatuzuliani jambo Erickb52
style hii itatufikisha mbali sana
OTIS
Teh ila huyu jamaa yako Kongosho hakawii kukugeuka na kukurushia mawe wewe....muda si mrefu atasahau kuwa mko pamoja utashangaa vibom vinaanza kuelekea upande wako....
Kwanza amepotea....ngoja nimtafute na tulishamkataza kwenda jukwaa na stress ila hataki kusikia....kila akienda anaambulia likizo lol then anawapa watu kazi ya kumwombea msamaha....
 
Last edited by a moderator:
Kama ulikuwepo..na kipindi kile mazingira hayajaharibiwa vichaka kibao
Kwa kweli hali ya kipondi kile haitakuja kutokea tena duniani..
Yan siku hizi sura ya nchi imepaukaaaaa haina hata mvuto tena....ingewezekana tungerudisha nyuma maisha
 
Kwa kweli hali ya kipondi kile haitakuja kutokea tena duniani..
Yan siku hizi sura ya nchi imepaukaaaaa haina hata mvuto tena....ingewezekana tungerudisha nyuma maisha

Nimekuta mito tuliyokuwa tunaogelea imekauka na baadhi ya sehemu wamejenga nyumba really sad
 
Nimekuta mito tuliyokuwa tunaogelea imekauka na baadhi ya sehemu wamejenga nyumba really sad
Haahahahaaaa wanataka hadi vijiji vyote viwe majiji....
Ila itafika kipindi tutaanza kufa bila sababu....Oxygen itakuwa haipo tena yan kwishiney kila kitu
Tumwombe Mungu atuepushe na majanga....
 
he he he, kule siendi ng'o
nilikuwa bize natizama BBA.

Kumbe unakumbuka nlivyokugeuza oops geuka? :)

Teh ila huyu jamaa yako Kongosho hakawii kukugeuka na kukurushia mawe wewe....muda si mrefu atasahau kuwa mko pamoja utashangaa vibom vinaanza kuelekea upande wako....
Kwanza amepotea....ngoja nimtafute na tulishamkataza kwenda jukwaa na stress ila hataki kusikia....kila akienda anaambulia likizo lol then anawapa watu kazi ya kumwombea msamaha....
 
Last edited by a moderator:
Haahahahaaaa wanataka hadi vijiji vyote viwe majiji.... Ila itafika kipindi tutaanza kufa bila sababu....Oxygen itakuwa haipo tena yan kwishiney kila kitu Tumwombe Mungu atuepushe na majanga....
Na tumeshaanza kufa.......ona ocean road wagonjwa mpaka wanakosa vitanda..tunaishi kwa msaada wa Mungu...afadhali kdogo Iringa hali ya kijani mashalaah, miti mingi na vijito visivyokauka kiangazi vipo....Ingawa baada ya miaka kadhaa hali itabadilika si hatuna nidhamu ya utunzaji
 
I thwea on my nails, nimeamini kabisa.
Mie tu huwa najisemea ila nimeamini.

Konnie bwana, ni story ya kweli sina upuuzi wa kudanganya hapa JF....NI majirani zetu hao miaka hiyo na tulikuwa tukicheza sana kwenye viwanja vyao hasa kombolela na mchezo wa kujificha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom