Hata umpe nini mwanamme haridhiki??


  • Mkempia
    Re: Hata umpe nini mwanamme haridhiki??
    eeeh jamani
    mwanadamu hatosheki
    hata ukimpa nini?
    Milele hatoridhika aah!
    nimekumbuka nimewahi sikia haka kaubeti kanaimbwa redion sijui nani mtunzi.​
  • Today, 11:08

  • mtunzi ni ishimanga Asosa Kalala.
 
Kwani wanawake wanasifa ya kutoa au kupokea?

Hiyo kauli huwa wanatoa kibinafsi tu
 
Unataka mwanaume aridhike nini wakati unampa mara moja kwa wiki? Zile siku unazosema umechoka ndo mwanaume anatafuta pa kujazilizia.

Hayo mengine ya upendo wanajua wanawake upendo ni nini!
 
nini icho cha umuhimu...... understanding or heshima or.....??????? embu funguka bs.
Nadhani heshima zaidi, hata vitabu vyasema enyi wanawake watiini waume zenu..,na sie tuwapende!
 

Nimekuelewa my kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…