Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,217
unataka wafanyeje zaidi ya kutumia Njia za kidemokrasia?Tume huru ya nini? Lengo la chama ni kushika dola. Haijalishi umeshika dola kiuhalali au la. The end determines the means
unataka wafanyeje zaidi ya kutumia Njia za kidemokrasia?Tume huru ya nini? Lengo la chama ni kushika dola. Haijalishi umeshika dola kiuhalali au la. The end determines the means
Kwa faida ya nani? Sisi Tume iliyopo inazingatia matakwa na maslahi ya Wananchi! Hatuoni kwa nini tupoteze muda kuunda Tume huru eti Wapinzani waende Ikulu! Wakafanye nini la maana? Kuonja tu kukaa Ikulu! Rubbish!
Uongozi wa nchi unapokuwa wa hila mafanikio yatabaki kwenye makaratasi na si realty. Ubinafsi unaoisumbua CCM kujiona wao wanastahili kutuamulia na si wengine haiwezi kuwafanya wafanikiweKwa faida ya nani. Sisi wananchi tulio wengi tumeikubali CCM! Hao wababaishaji wa Upinzani waende zao huko!!
kweli inapaswa tuidaiSiyo ajaribu kuianzisha sisi wenyewe Watanzania tuindai ni haki yetu,tuondokane na fingisu tupate viongozi tunaowataka kiukweli.Hapa ndipo atakuwa na ujasili wa kusema "msema kweli ni mpenzi wa MUNGU".
Acha maneno wacha iwe huru iendelee kuwatangaza akina majaliwa lakini kwa ushindi halali. Mimi binafsi sina tatizo na mgombea yoyote anayeshinda kihalali, au wapinzani kushinda hadi wakeshe sehem ya kuhesabia kura otherwise imekula kwako, ccm kwa nini wanaogopa tume huru, kwani ikiwepo ni dhambi?Ndio kazi ya chadema siku hizi kuombea kila aina ya maovu yatokee Tanzania.
Tume inakuwa nzuri na huru inapowatangaza washindi Mbowe, Lisu, Lema, Mdee etc
Lakini tume hiyo hiyo inakuwa siyo huru inapowatangaza Magufuli, Zungu, majaliwa, Nchemba etc
Na ndio maana nilianza kwa kumuuliza kama yeye ni msemaji wa watanzania????Hakuna mahala aliposema Watanzania wote hawampendi Magufuli. Wewe na wenzio mnaompenda ndiyo hiyo pungufu ya asilimia kumi aliyoitaja.
Katika comments zote ambazo nimepata kusoma humu jf wewe umeandika kitu cha thamani sana bahati mbaya ni mwiba kwa watawala, hawawezi ruhusu ingawa ndio ingetupatia viongozi walioshinda kihalali sio hawa wa kuwekwa kwa ushindi fake, ukiona mtu humu anasifia ushindi wa ccm ujue ni mchumia tumbo ila ukweli huu anaujua.Muundo wa Tume,
Base au Wajumbe wa Tume,
A) Wajumbe 9 Kutoka Chama Tawala
B) Wajumbe 9 kutoka Kambi ya Upinzani
Kamati ya Tume ya Sheria na Katiba
1) Wajumbe 5 Wanasheria Kutoka Chama Tawala
2) Wajumbe 5 Wanasheria Kutoka kambi ya Upinzani
Kamati ya Utaalamu na IT
3) Wajumbe 5 Kutoka Chama Tawala
4)Wajumbe 5 Kutoka Kambi ya Upinzani
Kamati ya Ushauri na Uhusiano
5) Wajumbe 3 dini/Taaluma etc Kutoka Chama Tawala
6) Wajumbe 3 dini/Taaluma etc Kutoka kambi ya Upinzani
Uongozi.
Mwenyekiti atokane na Kudi la wale Wajumbe Tisa Tisa. Automatically Mwenyekiti akitokea Chama Tawala Makamu awe Upinzani and Vice Versa. Maamuzi yote yahusianayo na Process nzima ya Uchaguzi na Kutangaza matokeo ni batili bila Kura za wajumbe 3/4 ya wale tisatisa.
Katibu atokane na Kundi la Wataalamu wa kundi la wale wajumbe watano watano. Katibu akitoka Upinzani automatically Naibu anatoka chama tawala n Vice Versa. Katibu anawajibika kwa Mwenyekiti na Kundi lile la Tisa Tisa.
Kundi la Mwisho Liwe Ni Kundi La watendaji na Waajiriwa wa Tume ambao Itikadi ya Kisiasa haitazingatiwa na Wataapishwa kuwa ni Kosa la jinai Ikiwa watajihusisha na Kuyumbisha au kuvuruga process ya Uchaguzi wowote kwa maslahi ya chama chao au chama fulani kwa maslahi ya binafsi. Idadi yao itakuwa kila Mkoa Kulingana na Mahitaji.
Iwe ni Marufuku Kwa Mteuliwa Yeyote wa Rais au Watendaji wake eg DED kujihusisha na Chaguzi zozote.
Tume Ikiwa mfano huu, Hata CCM wakishinda miaka 10,000 Mfululizo Nikifanikiwa kuwepo nitawapigia Mizinga 21. Ila bila kuwa na Tume huru CCM wakasema wameshinda Kihalali, wanatakiwa kupigwa Mizinga 21! Hasa huyu, huyo atakayesema kashinda!
Na muundo wa sasa ukoje???
Dah... Mzungu alituweza sana...Yaani bado miaka zaidi ya 3....tunawekeza kwenye kazi za midomo na perete perete... na bado tunalia njaa.... Hivi vyama vya siasa haviwezi kugeuka taasisi za uzalishaji baada ya Uchaguzi kupita? Kama kweli Nia yao kumsaidia wananchi... Kwanini wasifanye hivyo kwa kuelekeza ruzuku yote kwenye uwekezaji... Kuanzisha miradi mikubwa ya kilimo cha umwagiliaji na ufugaji...hapa ajira nyingi zingezaliwa. . Bila ya aibu wanajinadi hadharani kuwa lengo la Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola (Makusanyo ya kodi) ....kama kweli wana Nia njema na wananchi kwanini wasituonyeshe angalau kwa hayo makusanyo kidogo ya kodi wanayopata(ruzuku)? Kweli mzungu muacheni aitwe mzungu.... Hivi Hatuwezi kuwa na mfumo mwingine wa kujiongoza tofauti na huu unaotutia ujinga?
Dah.. .Chief hujanielewa.. Tuliza akili ..bila hasira.. ..kanisome upya.. mdogo mdogoNafikiri ungetumia bandiko lako kuihimiza serikali iwasilishe Rambirambi za Wanakagera ungekuwa umefanya jambo la maana sana,kuwaambia wapinzani watumie Ruzuku kuiendeleza jamii ni justification ya kitoto sana.Wanaokusanya kodi zetu kila mwezi wao wamefanya nini?Wao Ruzuku yao imefanya kitu gani?Au ni Ruzuku za wapinzani tu ambazo ni 1/3 ya Ruzuku inayochukuliwa na CCM ndiyo inayopaswa kutumika kuiendeleza jamii tu?
Kama unasema Ukweli, Basi tume huru itaniaibisha mimi mwongo, au sio?Kwa faida ya nani. Sisi wananchi tulio wengi tumeikubali CCM! Hao wababaishaji wa Upinzani waende zao huko!!
Yaani Kuomba Tume huru ni kuwatakia Binadamu wenzangu mabaya? Kuna ubaya katika Ukweli na Uwazi, Je Uhuru ni neno baya kweli. Unakumbuka enzi za Glasnost na Perestroika?Mkuu Mokili Fumulauhi,
Nasoma post zako lakini mara nyingi nachangia kwa uangalifu mkubwa.Si mtabiri wala msoma nyota lakini inaelekea huwatakii mema binadamu wenzako.Katika hali hii ya leo una ujasiri gani wa kusema haya usemayo?
Twende kwenye mada-Magufuli atashinda kwa asilimia kubwa kwa sababu moja kubwa ambayo nayo ni kuwa watanzania hasa wa bara si watu wa kuweka mambo sana na ni watu wa kuridhika haraka.Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 utakuonyesha hali halisi na mambo yakayotokea 2019 na 2020 kabla ya uchaguzi hata kama ni kwa muda mfupi yatawafanya Watanzania wasahau mengine yote.
Watanzania wakilalamika waangalie kwa makini.
Mkuu inawezekana level ya wa Tz walio wengi bado wako chini katika kuelewa baadhi ya mambo, huwezi kuwalinganisha na baadhi ya nchi zilizopiga hatua LAKINI pia si wajinga kiasi hicho. Ati tu kwa vile CCM haifanyi vyema then utegemee wafanye uamuzi wa kipumbavu zaidi kwa kumchagua mwingine yeyote ili awaongoze. Itafika siku tutapata viongozi mbadala pale itakapoonekana inafaa. Tumewahi kuwa nao na bado baadhi tumewachagua chini ya tume hii hii (Lissu, Mbowe, Waitara, Mr.2, Prof. J, Kamanda Lema, Mbatia, Mdee, Bulaya, E. Matiku etc hata Edo tulimpa 40% siyo haba). Mkuu TZ ni nchi kubwa na ina watu wenye matamanio tofauti na kwa hivyo acha kujipumbaza kwa kuwaona ni wajinga eti tu kwa sababu hawakuchagua Upinzani chini ya Edo.naunga mkono hoja yako
lakini tatizo kubwa la watanzania ni ujinga..hawaeezi ku reason..wapo wengi tu wanaoichagua CCM
Naunga mkono hoja yako na tumeshauri Mara nyingi sana hii iwe ajenda namba moja lakini watu wameweka pamba masikioni
CCM ikishinda katika mazingira ya tume huru it's well and fine
Hapo nakuunga Mkono vingefanya hivyo Visingeishia Kupora pesa za Wahanga wa Tetemeko. Hasa vinapokuwa ni Chama tawala ongoza kwa mfano. Na pia mwenyekiti wake asingelazimika kutumia nafasi yake ya Urais Kukwapua 2.7 billion hazina na kuwagawia. Hapo umenena!Dah... Mzungu alituweza sana...Yaani bado miaka zaidi ya 3....tunawekeza kwenye kazi za midomo na perete perete... na bado tunalia njaa.... Hivi vyama vya siasa haviwezi kugeuka taasisi za uzalishaji baada ya Uchaguzi kupita? Kama kweli Nia yao kumsaidia wananchi... Kwanini wasifanye hivyo kwa kuelekeza ruzuku yote kwenye uwekezaji... Kuanzisha miradi mikubwa ya kilimo cha umwagiliaji na ufugaji...hapa ajira nyingi zingezaliwa. . Bila ya aibu wanajinadi hadharani kuwa lengo la Chama chochote cha siasa ni kuchukua dola (Makusanyo ya kodi) ....kama kweli wana Nia njema na wananchi kwanini wasituonyeshe angalau kwa hayo makusanyo kidogo ya kodi wanayopata(ruzuku)? Kweli mzungu muacheni aitwe mzungu.... Hivi Hatuwezi kuwa na mfumo mwingine wa kujiongoza tofauti na huu unaotutia ujinga?
Hizo ni Hadithi, Tunataka Tume Huru shida iko Wapi?Mkuu inawezekana level ya wa Tz walio wengi bado wako chini katika kuelewa baadhi ya mambo, huwezi kuwalinganisha na baadhi ya nchi zilizopiga hatua LAKINI pia si wajinga kiasi hicho. Ati tu kwa vile CCM haifanyi vyema then utegemee wafanye uamuzi wa kipumbavu zaidi kwa kumchagua mwingine yeyote ili awaongoze. Itafika siku tutapata viongozi mbadala pale itakapoonekana inafaa. Tumewahi kuwa nao na bado baadhi tumewachagua chini ya tume hii hii (Lissu, Mbowe, Waitara, Mr.2, Prof. J, Kamanda Lema, Mbatia, Mdee, Bulaya, E. Matiku etc hata Edo tulimpa 40% siyo haba). Mkuu TZ ni nchi kubwa na ina watu wenye matamanio tofauti na kwa hivyo acha kujipumbaza kwa kuwaona ni wajinga eti tu kwa sababu hawakuchagua Upinzani chini ya Edo.
Tume huru yenye lengo la kukidhi matamanio yako utaisubiri sana broo.Hizo ni Hadithi, Tunataka Tume Huru shida iko Wapi?