Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,611
Wana Jamvi!
Tafakuli yangu pevu imejaribu kufuatilia masuala ya chaguzi ya nchi yetu hii pendwa na kuchunguza je kama wananchi wakitaka mabadiriko watayapataje?
Matokeo halisi yanaonyesha kumbe tatizo si tume huru ya uchaguzi bali jina la chama dola! Hilo jina haliruhusu chama au kikundi chochote kutawala nchi hii hata kwa kuchaguliwa kihalali!
Kumbe wanaharakati wanachitakiwa kung'ang'ania sio tu tumehuru ya uchaguzi bali pia maana ya jina la chama dola na mabadiriko ya jina la chama dola!
Ndoto halisi!