Hata Tegeta tuna Shopping Mall

Hata Tegeta tuna Shopping Mall

Hata kwetu mbona tunayo shopping mall?

12978831113WBzSX.jpg

Mbona ni kama Tengeru hapa..
 
I suggest that you leave Marge alone........:becky::becky::becky::becky:
Kutoka utambulisho wa shopping mall hadi kutaka kutoana ngeu kwa ajili ya waitress marge!

Back to topic:
Hizo makitu zinatakiwa ziwepo kila sehemu, mlimani city, sijui kwalite senta.....nk. Hii itapunguza misongamano isiyo ya lazima katika eneo moja.

Na sisi wa huku mvuti huenda tutaletewe makitu kama hizo siku moja.
 
Unoko wa nini ijumaa yote hii na watu tuna mishahara bana?
 
mwali nikija ni zamu yangu ya kwenda kumfannyia mama usafi promise..........nitaenda na snowhite. Hiyo wewe utakuwa mpambe tu kazi ni zetu wawili,.sawa?

yap sis!i wud love to!si itakuwa kabla ya tar 14 sio?
manake na mi sipo home ujue!
but narudi tar 9 so tutaenda wote mpenzi wangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom