Hata Tegeta tuna Shopping Mall

Hata Tegeta tuna Shopping Mall

kweli kabisaaaaaaa, na mama anavyopenda wageni, atafurahije sasa???? karibuni sana! lolest!

shoga mchana huu nimekaa bored nikaanza kuakumbuka ya nyuma, si nikajikuta nakumbuka ishu ya mlango kujiloki yenyewe wacha nicheke kwa sauti lol! jamani maisha yana vituko.
 
Shukrani zimwendee Mama Ana Mkapa aliyemfadhili "kiaina" kijana mdogo Msaki na kutuletea hii makitu maeneo ya karibu. Mlimani City byebye!!
Kumbeee ati na kweli ni kijana mdogo lakini ana wapambe sijapata ona akikohoa wanaitikia tu ndio,wapambe nuksi kuliko tajiri mwenyewe ee bana we acha tu
 
mwambie mapemaaaaaaa huyo mage, kuwa kuna mtaalamu wa kunyonya macho bila ganzi! Akuache mume wangu ujinyweeeee kwa raha zako, sitaki ku-share mie!
Wala usihangaike, tayari nshapigwa mkwala hapa chini..... Chezeiya Marge?

I suggest that you leave Marge alone........:becky::becky::becky::becky:
mbona kama umetamalaki?? watu8 unataka tuvunje amri ya 6 nini?? maeneo ya fyatanga!! au twende boko inn, maana zero pub wanawajua sana kaka zangu!
Ngoja nikarenew leseni yangu ya kumiliki binduki
 
Hata kwetu mbona tunayo shopping mall?

12978831113WBzSX.jpg
Heh heh heh hapo ni Mumbai au
 
mbona kama umetamalaki?? watu8 unataka tuvunje amri ya 6 nini?? maeneo ya fyatanga!! au twende boko inn, maana zero pub wanawajua sana kaka zangu!

Kaka zako hawataki shemeji?
 
Last edited by a moderator:
mbona kama umetamalaki?? watu8 unataka tuvunje amri ya 6 nini?? maeneo ya fyatanga!! au twende boko inn, maana zero pub wanawajua sana kaka zangu!

mie huwa napitaga tu mitaa hiyo nikiwa naenda zangu Kaole bwaga moyo...hapo kibaoni kwa mbele kidogo kama waenda Boko kuna ka-pub flani hivi nimekasahau jina huwa kanajaza kweli
 
Last edited by a moderator:
Wala usihangaike, tayari nshapigwa mkwala hapa chini..... Chezeiya Marge?


Ngoja nikarenew leseni yangu ya kumiliki binduki

usipokubali vyako kuliwa, basi nawe huwezi kula...sosi:renewed vesheni ya sentesi ya JK
 
Afu inakuwaje unakuja kwa mama bila hata kunibeep?

pale juu kuna dansi linapigwa Ijumaa mpaka Jumapili. Hiki kiuno changu ndo huwa nakilainishiaga pale.

Kuna mhudumu mmoja pale anaitwa Marge..... naona ana mpango wa kunivunjia ndoa yangu...khaaaa!!
Hah hah atawavunjia wengi,mkienda hapo msiende na waume zenu,muende na serengeti boyz
 
Wala usihangaike, tayari nshapigwa mkwala hapa chini..... Chezeiya Marge?


Ngoja nikarenew leseni yangu ya kumiliki binduki

Ha haa haa......hujamuona yule "AKAUNTA" nini? Amejazia huyo na malips yake manene ajabu! Masalalee
 
mbona kama umetamalaki?? watu8 unataka tuvunje amri ya 6 nini?? maeneo ya fyatanga!! au twende boko inn, maana zero pub wanawajua sana kaka zangu!

kama vipi twende kule kwingine, hapo Fyatanga ndio jamvi la nyumbani ya ODM, asije akatunanilihuuu bure
 
Last edited by a moderator:
Imeandikwa usilitaje bure jina la Bwana Mungu....

nami nakuamuru usilitaje bure jina la Fyatanga hasa muda wa kazi!!

Ushakula mishkaki ya samaki kwene lile li mooo Babu Asprin
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom