mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,331
- 9,291
Zamani nilipokuwa naishi Sinza nilikuwa nawashangaa watu wenye fweza zao walipokuwa wanakimbilia kununua viwanja Tegeta nikiiamini ni kushoto hasa kwa sisi tunaotoka mikoa inayopakana na kwa Joyce Banda,baadaye nikavutwa na kwenda kwa shingo upande huko Tegeta,kwa hakika namshukuru aliyenivuta kwenda Tegeta kwani tegeta ya sasa inapaa kila kitu cha kisasa utapata Tegeta kuanzia maduka ya kisasa,migahawa ,supermarket na sasa tuna Shopping mall,sihitaji tena kwenda Mlimani City