Hata sura simjui, ananiomba hela

Umesema unafanya kazi, sasa shs7000 ni kubwa kwa mtumishi???? Ww mtumie tu hiyo hela
 
daah! hata simuelewi fb kaweka picha moja na nikimpigia simu hapokei anasema imeharibika maiki (mic)
:what::what: Ishara Tosha Ni Muhuni....Achana Nae Au Mwambie Aje Muonane.......Mwambie Unahitaji Kumuona.......Au Akujege Mkutanege Umpe!! Mweeheeeee.....🙄🙄
 
What the hell....!!?
Tapeli hiloo. . . . .

Tapeli sio lazima liwe baunsa na misuli mikubwaaa hata katoto kadogo kanaweza kukutapeli!
 
Wapenda nyapu wanatapeliwa sana kwenye mitandao
 
dah hilo tunaita zari la mentali mwana we mtumie tu anakuja huyo.
 
nataka nimtupilie mbali ila ananing'ang'ania kweli, ila nitajua cha kufanya
 
mkuu usiingie choo cha kike, mimi nimeshalizwa na kademu ka facebook kalinipiga mizinga....mkuu usijaribu hata kidogo, na mimi kaliniambia maic mbovu tukawa tunatumia tu sms, yaan ni sitory ndefu . MKUU NPM NAMBA YAKE AU JINA LAKE LA FACEBOO NILINGANISHE NA HII NAMBA NILIYO NAO.
 

Fuata asali ukaliwe na nyuki!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…