Hata siwaelewi TV 1 wanaenda wapi Usiku wa Manane

Hata siwaelewi TV 1 wanaenda wapi Usiku wa Manane

Ami B Msafir

Senior Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
100
Reaction score
33
Hawa jamaaa mida ya usiku bwana huwa
Wana niambia tutarejea saa 11 sasa swali saa 8 mpaka saa 4;59 huwa wana Tanya nini
e0d4a66344309db5eaeae51185b53577.jpg
 
BADO WANAJIPANGA.Kuendesha vipindi saa 24 kwa siku 7 inahitaji kuwa na watumishi wa kutosha,na kuwa na fedha ya kununua vipindi vya kampuni zingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuendesha vipindi saa 24 hasa kwa upande wa Television ni gharama kubwa.


Tv nyingi na hata redio zilianza kwa mtindo huo.

Yote kwa yote naipenda sana hii Tv imeipiku hadi TBC inayolala inakesha.
 
Hawa jamaaa mida ya usiku bwana huwa
Wana niambia tutarejea saa 11 sasa swali saa 8 mpaka saa 4;59 huwa wana Tanya nini
e0d4a66344309db5eaeae51185b53577.jpg
Wanakuwa wameenda matembezi na kupata lekeselo barrrrd sana
41c3a9c60ed391c7772b08be651a6a26.jpg
[emoji15] [emoji23] [emoji3] [emoji115]
 
Usiku huwa wanaenda UK kuwasomesha sky wawaongezee walau ka match kengine ka premier league..
 
Moja ya tv station bongo inayojielewa hasa arrangement za vipindi vyao wako vizur sana nawakubal tueste mda watakaa sawa zaidi
 
Back
Top Bottom