facebook=kitabu cha mfano=usokitabu? Uo uchuro.Hivi inakuaje unafika home na kukuta mkeo anachat na mtu kupitia facebook,unamuomba ucheki unakuta jamaa kamtumia meseji eti ni x wake na anamlaumu kwa nini hawakuagana rasmi.....unataka kuzimia...ungefanyaje??