Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu wapendwa, leo bana Kasinde kanasa ndani ya State ya Obama, loooh siamini kama nimenasa la la laaaah daaah!! msinicheke jamani maana najua nilijigamba sana. Wacha niwaelezee mkasa mzima ilikuwaje.....
Leo asubuhi nilipoamka ofcourse niliamka late kwasababu ya kubundi jana usiku. Baada ya mishuhuliko ya kutwa nzima jioni nilienda jogging kama kawaida na niliporudi home kwa mwenyeji wangu nilikuta anawageni wa kiume 3.
Nikawasalimu kwa haraka maana nilikuwa na majasho. Nilipotoka kuoga wakasuggest tukale out in a restaurant, nikauramba mbeibe nikatoka. On the dinner one of the friends wa rafiki yangu akawa so busy na mie yaani on reading adults mind alinidondokea.
Mie nikawa kimya kuona karata zitaishiaje. After dinner alipoona sielekei akamseti mwenyeji wangu ili atoke kisha yeye anirudie, huyo mkaka anaitwa Sean, nikiwa nimejiandaa kupopo mwenyeji wangu akaniambia leo hatoki hivo ananiachia rafiki yake nisiwe na wasiwasi.
Machale yakancheza ila nikasema am Kasinde I can make it, tukatoka club moja hivi iko mbali na tunapokaa maana tuliendesha umbali mrefu, nkamwambia naomba nirudishe nikalale u know what he say, be my guest akanishika mkono hadi kwenye gari yake na stendi ya kwanza ilikuwa home kwake.
Niliposhuka nikamwambia hapa sio home maana nyumba yake iko tofauti kidogo, akasema pls naomba leo ulale hapa ntakupa room yako na asubuhi nakurudisha home.
Hapo kichwani nina kanywaji... na uchovu wa kucheza sikubisha nikaingia ndani ila nikamwambia bora nirudi home coz nguo za kubadili sina na mie nimezoea kulala bila nguo, kumbe ndo nazidi kuharibu. Sean alivosikia hivo hakuweza kuvumilia alinifata akanihug kwanguvu tightly, kisha long romance ikafata then...😛eep: :behindsofa: he got me damn man!!!
Kasinde has loose the nut and he untie the screws aaagghh, sasa sijui asubuhi itakuwaje, nikasirike au niendeleze mshono? Ila the game was sweet and marvelous.
I darely to speak fo long I didn't get such a rub. Wacha nirudi kulala maana nimechomoka kama naenda toilet, hapa namuangalia Sean kalala he is cute and gentle, sijui nirudi nae bongo huyu? Sijui nimpagawishe na zile chejo za kinyamwezi.
Nikiamka salama ntawapa full mkanda kuhusu mwenyeji wangu, kuna kitu nimekigundua ambacho nacho kimentia mashaka. Saa hizi huku ni saa tisa usiku bye wapendwa, kesho.
Love u alll, shida yangu napenda sana kusimulia na siwezi kuweka kitu moyoni yaani nikisimulia kitu naskia rahaaa, so naomba mnivumilie tuu jamani, love u much!!
Ila jiulize, is it true Kasinde is in love or it just happen?? ngoja pakuche!!
MORE UPDATES:
Tuliamka kama saa tano asubuhi nikaenda kuoga and the guy gave me his t-shirt, it was long so I wear it like a short gown. He prepared a breakfast for me and then he take me back home.
Nilipofika home, nimemkuta mwenyeji wangu bado yuko na wale rafiki zake wengine 2. Basi tukawa tunastorisha and had drinks wakati wanaangalia mechi, mida mida mi nikawaacha nikaenda room.
Jioni hii ni saa kumi na moja saizi natoka room nimekuta wanaangalia mpira kati ya costa rica na greece, mwenyeji wangu akaniambia Sean anataka kuonja mapishi ya Tanzania so if you wont mind please lets have dinner at home today cooked by Kasinde!!!
Hapa nimeandaa kuwapikia milo mitatu, pilau, ugali na ndizi za kupika, pembeni naweka kuku wa kukaanga na kachumbari na fruit salad. I hope they will enjoy the meal, mboga ya ugali nimeweka sosi la mabiringanya, karoti, hoho, pilipili and other spices.
Pilau ndani lina nyama ya ng'ombe nimekaanga na dagaa wabichi pembeni kama nyongeza ya mboga ya kulia ugali. Nataka niwafundishe kula ugali ukiwashinda kula siku ingine hawataniambia niwapikie tena looh, ila wakikipenda chakula cha TZ itakuwa ndo chef wao hadi niondoke looh.
Since nimeondoka kwa Sean hatujaongea lolote but he kissed me again this afternoon, ila leo nimepanga sitoki nikishakula na kufanya usafi wa jikoni, naoga nawatch movie hawanioni hadi kesho, I wonder Sean akisema hatoki naye anabaki kuwacht movie.
luv u guys, the love scene btw Kasinde and Sean I dont think if it will last, coz my mind has come back...I think yesterday I loose some of them while dancing.