asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
habari wana MMU.........
shemeji/wifi yenu alikuwa amesafiri sasa leo kanipigia simu kwa suprise kuwa yupo njiani anakuja...........hata sielewi kilichotokea ila niliingiwa na mchecheto utadhani napokea mpenzi mpya kumbe ni yule yule wa siku zote a.k.a wa miaka mingi......mzee mzima mpaka shopping ya vitu ndani nikafanya hlf kila ninachofanya naharibu ilimradi akili haiko sawa.
si bure aseeeeeh! huko alipotoka kanipiga limbwata......at this age na shehena langu la maexperience mimi niwe mtu wa mchecheto?