ndo mambo tunayopenda kuyasikia haya sio watu wanaleta mastori oohhh sijui nimekamata demu nimepga mke wangu kajua..big up mkuu love never dies..thats the spirit..
limwambata inakwaida hiii unafanya bila kujua iyo ndo limbwata..we umekuja unajitangaza kabisa mean unajielewa unasema umepuliziwa?acha kumtafutia kisa mwenzi wako bhana... biblia inasema :"UMFURAHIE MKE WA UJANA WAKO"ndicho ulicho kifanya ww....ongera sana aaaaaaaaaaaaaaaaaa aise
Bora kama unamtamani mkeo manake hapa tushazoea watu wakiandika
,, oh shetani akanipitia mara nikamtafuna housegirl,ama rafiki wa mke ama......nk