hihii umenchekesha, daah
Angalie mchecheto usizidi!
hawezi kuonekana hapa sasa hivi
inaelekea kifaa kishaingia home
sasa hivi atakuwa kapika chai ya chumvi na mishkaki ya sukari.
Chezeiya mchecheto wa uzeeni wewe?
Ukute bahati mbaya bahari imechafuka daaaah itakuwa imekula kwako tehe tehe
mkuu nifanya zaidi ya hiyo ,,,,nimeenda shopping ,nikachinja kuku ,nimemtengeneza mwenyewe ,nikatayarisha chapati za mayai ,chai ya maziwa ,juisi kwenye friji .....maji nikawasha heater ....... ametoka kuoga nimemfuta na taulo mwenyewe..........ngoja niishie hapo ,ila hii siyo kawaida ,nahitaji maombi yenu wana MMU
Kwa kweli hapo mkuu wangu umepatikana. Wazazi wetu wa kiChaga wakija kwako wakashuhudia mapenzi ya namna hiyo wanakuachia laana, kesho yake asubuhi wanapanda Ngorika wanarudi Moshi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hizo rehearsal sizipatii picha!!!!!!!!!
yaani wazazi wanaondoka tena bila kuniokoa mwanao kwenye hilo janga mkuu? haitakuwa fair kabisa.
mmmmmh! kama ulikuwepo Evelyn Salt
Room mate wangu chuo alikuwa akienda kwake (she was married mother of two) namuambia inabidi ufyeke. Anajibu mwenye shamba yupo. Atajua kama magugu yanamkwama kwenye meno, atafyekaje na kwa style gani.
Usije ukamuambia afyeke akaenda kugombeshwa!
mkuu nifanya zaidi ya hiyo ,,,,nimeenda shopping ,nikachinja kuku ,nimemtengeneza mwenyewe ,nikatayarisha chapati za mayai ,chai ya maziwa ,juisi kwenye friji .....maji nikawasha heater ....... ametoka kuoga nimemfuta na taulo mwenyewe..........ngoja niishie hapo ,ila hii siyo kawaida ,nahitaji maombi yenu wana MMU
hawezi kuonekana hapa sasa hivi
inaelekea kifaa kishaingia home
sasa hivi atakuwa kapika chai ya chumvi na mishkaki ya sukari.
Chezeiya mchecheto wa uzeeni wewe?
yaani wazazi wanaondoka tena bila kuniokoa mwanao kwenye hilo janga mkuu? haitakuwa fair kabisa.
mmmmmh! kama ulikuwepo Evelyn Salt
ilikuwaje?
Hukuweka chumvi kwenye chai kweli?
Ukipata nafasi ya kupenda usijalahumu!
Ulilala kweli?
mkuu nifanya zaidi ya hiyo ,,,,nimeenda shopping ,nikachinja kuku ,nimemtengeneza mwenyewe ,nikatayarisha chapati za mayai ,chai ya maziwa ,juisi kwenye friji .....maji nikawasha heater ....... ametoka kuoga nimemfuta na taulo mwenyewe..........ngoja niishie hapo ,ila hii siyo kawaida ,nahitaji maombi yenu wana MMU
kweli kabisa huwa inatoke ,mmoja anaposafiri hata safari ya wiki moja tu, basi unakuwa na hamu nae sana, na wahenga walisema " umuhimu wa mtu uonekana wakati akiwa hayupo"'Ni kawaida hiyo mkuu, hiko ni kichwa cha chini ndiyo kinachofanya kazi muda huu.