Hata Rwanda wanatuacha sasa kimaendeleo

Hata Rwanda wanatuacha sasa kimaendeleo

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,419
Reaction score
1,929
Rwanda has recently experienced a drastic increase in air traffic due to tourism and increased economic activity making the existing airport outdated and too close to the expanding urban center. After performing an extensive feasibility study, OZ and its team of consultants have been hired by the Country of Rwanda to design a new international airport South of Kigali across the Nyabarongo River in Bugesera. The proposed airport will increase global connectivity as Rwanda moves from a subsistence agrarian economy to a human resource global economy and support the goal of becoming a technological, financial, communication and transportation hub for the entire African continent. The new site is also adequate for two runways to match the capacity of the largest world airports. Due to its location near the center of sub-Sahara Africa, Rwanda has also been selected to host a central CNS/ATM air control center at Mount Karisimbi.

KigaliIntlAirport1.jpg

Sisi tumeishia kuweka uzio...basi tumemaliza ati JNIA

dia.jpg
 
huo uwanja wetu wa terminal III mbona uko kama warehouse?
 
Tz maendeleo ni ngumu, hela inashia mifukoni mwako.
 
Vivutio vya utalii viko vya maana zaidi kwetu kuliko Rwanda na Kenya. Lakini huko tuendako, viwanja vya kuendea Serengeti, Ngorongoro na Mlima Kilimanjaro vitakuwa ni kile kinachojengwa Taveta (something like 30km from KIA?) na hicho kinachopangwa Rwanda.

Bila vision tutabaki nyuma sana. JK kasema ana vision ya kugeuza Kigoma iwe kama Dubai. But talk is cheap. Fedha atapata wapi wakati wenzake wanaziiba karibu zote? Mpaka JK aje kumaliza kipindi chake, hata Somalia itakuwa imetupita. Tutakuwa the least developed of the least developed countries.
 
sisi ufisadi na ubinafsi wa viongozi unatutafuna. Tukija kuamka wenzetu watakuwa wametuacha mbali!!
 
hata huku kuna ufisadi wa kufa mtu, lakini cha kustaajabisha ni ya kuwa mawaziri wetu wanawajibika zaidi na permanent secretaries ndio wanaofanya the bulk of the work in the ministries. wananchi na civil organisations wanashinikiza serikali kutekeleza ahadi zao, sisi Kenya tuko na vision 2030, in as much as we will not reached the target we had set on the blueprint, atleast we will have developed much.

ninacho jaribu kusema ni ya kuwa, sisi kama wananchi tuna wajibu wa kuhakikisha ya kuwa ahadi ambazo wanasiasa wanatupatia lazima watekeleze, maendeleo inaanza na sisi kama wananchi, tusitegemee walafi kule bungeni watushugulikie na wakumbuke kila wanacho ahidi, ni wajibu wetu kupigania na kuandamana ikiwezekana ili tunachotaka kifanikiwe.
Ijumaa karim
 
real talk my nig
 
this is good,i wonder if your the same smatta i know
 
Ivi kenya kujenga kiwanja apo Taveta maana yake nini ili shirikisho jamani latufaa kweli wakati wanajua fika KIA IKO KARIBU APO
 
So what needs to be done in order for Tanzania to catch up other countries?
 
Wenzetu wakenya wanaweka nguvu na fikra zao ktk kushindana nasi. Lakini sisi Tz tunabaki kulialia tu! Wamechuma mijihela kibao kupitia mlima wetu Kilimanjaro na wanajenga Uwanja wa ndege wenye hadhi ya kimataifa na kama haitoshi hata yule Mzee wa Loliondo wanatangaza kuwa yupo kwao. Hivi ni lini tutaacha kulia na kuwa na mbinu kama zao? Hivi wanawezaje kujua madhaifu yetu nasi tusijue ya kwao iliali ni majirani zetu? Tuacheni ujuha na tuanze kutumia raslimali zetu ikiwamo na wataalam ili tuwaonyeshe kuwa tunaweza kucheza rafu ila tunaheshimu maana halisi ya ujirani. Wao si tu wameanza bali wamezoea kutuchokonoa, nasi tumalize!
 
Huu wa kwetu ulitakiwa ujengwe sehemu kama mkuranga hv mbali na mji sasa nashangaa tena wanauweka mjini hii ni kuongeza msongamano kitu ambacho kitasumbua jiji la Dar mpaka sasa. Lakini nani muhusika mkuu wa hili? Huu mji uko shaghala baghala kila siku uozo mpya unazuka shem on u muhusika,.......Hamna haja ya kujenga terminal III kipawa there is no reason inatakiwa uwekwe nje ya jiji mbali kabisa kama vilivyo vya wenzetu.
 
Hawa viongozi wetu hawajui chochote zaidi ya ufisadi. Wanafikiri kwa kutumia matumbo yao badala ya bongo zao. Usishangae ukasikia wanataka kujenga uwanja wa ndege Kariakoo au Karume. Lakini mimi nasema na nitaendelea kusema kuwa haya yote tunayataka Watanzania wenyewe. Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mara ngapi tumepata fursa ya kuibadilisha hali hii, lakini kwa kuhongwa kilo ya mchele, kitenge na bia moja tunawaachia magamba waendelee kuitafuna nchi. Tukumbuke, "Mtu hawezi kukupandia mabegani ikiwa hukuinama". Sisi tunakubali kuinama ndio maana magamba wanatupandia mpaka vichwani.
 
So what needs to be done in order for Tanzania to catch up other countries?
The necessary and sufficient condition for TZ dev. be it social,economic or otherwise is to throw ccm overboard with dead weight tied to its feet.
 
Hakuna nchi inayoendelea kwa uchumi wa kitalii.Nchi ukiona inatilia mkazo eti kukuza uchumi kupitia utalii basi ujue viongozi wake wamefilisika kimawazo.
 
Hakuna nchi inayoendelea kwa uchumi wa kitalii.Nchi ukiona inatilia mkazo eti kukuza uchumi kupitia utalii basi ujue viongozi wake wamefilisika kimawazo.

Sio kweli. Uchumi wa nchi kama Misri na Singapore unategemea utalii. Singapore wana uwanja wa ndege na bandari tu, na wanatumia nyenzo hizo kupata fedha nyingi na maendeleo.

Look at it this way: Tunapata sasa hivi fedha nyingi kutokana na utalii kuliko kutokana na mauzo ya kahawa na pamba, combined. Utalii unaiingizia Kenya zaidi ya dola bilioni 2 kwa mwaka. Sisi tungeweza kupata watalii milioni 5 kwa mwaka, na hiyo ingetuingizia kama dola bilioni 5 kila mwaka. And, contrary to old ideology, fedha ni msingi wa maendeleo.
 
Hakuna nchi inayoendelea kwa uchumi wa kitalii.Nchi ukiona inatilia mkazo eti kukuza uchumi kupitia utalii basi ujue viongozi wake wamefilisika kimawazo.
Ulikuwa umelewa wakati unaandika haya maneno au hujui unalosema?
 
Ivi kenya kujenga kiwanja apo Taveta maana yake nini ili shirikisho jamani latufaa kweli wakati wanajua fika KIA IKO KARIBU APO
Unazungmuzia KIA, what has it done so far for this country...ooh i had forgotten smuggle wildlife uarabuni... KIA ingetumika vizuri tungekuwa mbali lakini its just a wastage of money and resources....ukienda pale KIA utajiuliza kama kweli this is an International Airport...ni kama airstrip...
 
Back
Top Bottom