Hata Moshi kuna tatizo zaidi ya Rombo

Hata Moshi kuna tatizo zaidi ya Rombo

Aiseeeeeh tutaona na kusikia mengi, Ila ule mpango wangu wa kujiweka mkoa huo inabidi nisitishe mana nasikia hao watu ni asili yao sekta iyo.
Huyyyuu nayyyyyee..... Tummma messsejji bbhanaaaa
 
Kama makanisa yanaruhusu unywaji wa pombe na nyingine kuuzwa humo humo makanisani mnatarajia nini cha ziada?
 
Hao watoto uliowaona ni product ya mjini wanazalishwa wanawake kisha wakijifungua watoto wanawapeleka kijijini wao wanatafuta maisha huku mjini

product ya mjini wapi wewe? mbona wako na wazazi wao huku?
 
Wakuu, kuna habari zinaenea kwa kasi sana juu ya Wanaume wa Rombo kushindwa kuwahudumia wake zao haswa kwenye tendo la ndoa, kitu kilicholazimu wakenya kuja kusaidia.
Hili tatizo kwa Rombo si kubwa kama linavyozungumzwa kwenye Mitandao ya kijamii.
Rombo watoto wadogo ni wengi kuliko hata wilaya ya Moshi vijijini, nimetizama kwasample ndogo tu ya watoto waliouhudhuria makanisani leo, kwa upande wa Rombo kuanzia Mashati hadi Mkuu kundi la watoto ni kubwa kulinganisha na wa kuanzia Mwika hadi Marangu kushuka mpaka Himo.

Kukutana na mwanamke mjamzito (sokoni, makanisani na kwenye mikusanyiko mingine) maeneo ya Marangu, Mamba na Mwika ni nadra sana, maeneo ambayo pia watoto wa chini ya miaka 2 ni wachache sana.
Inawezekana ni kupanga uzazi au ni kuongezeka kwa elimu ndiyo maana watoto wanapungua au Wanaume wa maeneo husika hawafanyi wanachopaswa kufanya.

Rombo wanasemwa tu! Tatizo la pombe si kwao tu, hata Moshi kuna tatizo kubwa hasa kwa vijana.
Possibly miaka mitatu au minne ijayo tatizo la uzazi maeneo haya likawa complicated sana.
Vijana waliopo na wasiokuwepo kwenye ndoa watashindwa kuzaa na wengine hawataoa kabisa,
Shida itabakia kwa wadada ambao wengi sasa wanadate na watu wasio wa umri wao kabisa.
Vijana wa Kilimanjaro Soon mtauingiza mkoa kwenye Ageing Population problems.
Wake up and do ur duties...
wewe hujaelewa somo kabisa. wanaposema wanaume wa rombo hawana nguvu za kiume hawamaanishi kwamba hata nguvu za kukojoa mbegu za kuivisha yai hawana, hizo wanazo mzee na usije kuwaacha walale chumba kimoja na mkeo au binti yako, wanazalisha vizuri tu. tatizo ni kwamba, nguvu za kuweza kuwasugua wanawake hadi wakaridhika hawana zimepungua kwasababu ya mipombe. kufanya ngono hadi kuridhika sio tu kukojoa kwa mwanaume. bali ni kumkojoza mwanamke hadi aridhike. wewe unaonekana mgeni sana kwenye haya mambo, ungekuwa mwenyeji ungeshajua kinachogombaniwa hapa.

umri wako miaka mingapi aisee?
 
mm nakusuport 100% kijijini kwetu shule haziandikish std 1 miaka 3 ila tatzo la uhamaji nalo ni factor mkuu
 
Back
Top Bottom