Hata mimi ningekataa

Hata mimi ningekataa

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,734
Reaction score
4,081
Japhet Maganga Katibu mkuu wa chama cha walimu (CWT) aliteuliwa mkuu wa wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera. Ndugu @ole_mushi akasema MagangThadei Ole Mushi huo uteuzi kwa sababu ana mshahara wa 7.8M kama Katibu mkuu wa CWT, lakini akienda kuwa DC atalipwa 3M.

@ole_mushi akasema, licha ya kwamba Maganga hatokeiThadei Ole Mushiswaa wala Kirua Vunjo lakini anaijua hela. Hawezi kuacha 7.8M akafuata 3M. Halafu hiyo 7.8M anaipata mjini (Dar), akiwa kwenye kiyoyozi anapanga na mishe zake nyingine, zikiwemo tender za Tshirts kwa ajili ya Mei mosi ambazo dili lake ni zaidi ya Bilioni moja.

Yani kutengeneza Tshirts za walimu wote wa umma kwa ajili ya Mei mosi, tender yake ni Bilioni. Hapo Katibu Mkuu hajamtafuta mzabuni ampe asante 🤣. Sasa huyo utampeleka Kyerwa akakutane na Intarahamwe? Thadei akasema hata kwa bunduki jamaa haendi kuripoti.

Na ndivyo ilivyotokea. Jamaa kagoma bana 🤣. Watu walisema ooh hawezi kumgomea Rais, ataenda tu kuripoti. Lakini kaamua kujilipua. Leo alitakiwa aapishwe, lakini badala ya kwenda Kyerwa, ameitisha kikao cha viongozi wa CWT, wapo Tanga. Unyama sana mwaisa 🤣.

Wakiwa kwenye kikao Polisi wakaambiwa kuna jamaa kasusia uteuzi wa Rais. Polisi wakaenda kumdaka. Wakamhoji kwa dakika 50 aeleze ni kwanini hajaenda kuripoti Kyerwa. Huwezi kuamini jamaa kawagomea polisi. Kawaambia hawezi kuwajibu swali hilo, atamjibu aliyemteua. Polisi wakaona wanadeal na "chizi" wakamuacha afundishwe na dunia.

#MyTake:
CWT imekua na migogoro sana iliyosababishwa na uongozi. Rais wa CWT, Makamu wake na Katibu mkuu walikua hawaelewani. Rais SSH akaamua kutumia busara kumaliza mgogoro ndani ya CWT. Viongozi wa juu wote akawateua kuwa MaDC.

Rais na Makamu wake wakatii na kwenda kuripoti kwenye wilaya walizopangiwa. Katibu Mkuu kadinda. Anaendelea na majukumu yake ya ukatibu mkuu. Juzi alituma ujumbe kwenye group la whatsapp akisisitiza kuwa yeye bado ni Katibu mkuu wa CWT 🤣.

Sasa mwambieni akajisalimishe tu Kyerwa kama anajipenda. Asishindane na Rais wa nchi. Kwa mujibu wa Katiba Rais ana mamlaka ya kuondoa hata huko CWT akabaki tu anazubaa mtaani. Mama mwenyewe alishasema ukimzingua mtazinguana. Sasa asisubiri wazinguane. Ajipeleke Kyerwa kwa speed ya 4G.!
 
Mie nakumbuka wakati fulani U-DC ulikuwa unatolewa kama zawadi kwa kina dada warembo waliokuwa wanaipamba CCM kwa vigelegele au kusaidia katika mambo fulani fulani ndani ya Chama, au wanaume wanaosaidia watoto wa vigogo shughuli kama kufunga kamba za viatu, kupiga watu wanaotaka katiba mpya nk. Ila siku hizi sijui unatolewa kwa vigezo gani.
 
Japhet Maganga Katibu mkuu wa chama cha walimu (CWT) aliteuliwa mkuu wa wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera. Ndugu @ole_mushi akasema MagangThadei Ole Mushi huo uteuzi kwa sababu ana mshahara wa 7.8M kama Katibu mkuu wa CWT, lakini akienda kuwa DC atalipwa 3M.

@ole_mushi akasema, licha ya kwamba Maganga hatokeiThadei Ole Mushiswaa wala Kirua Vunjo lakini anaijua hela. Hawezi kuacha 7.8M akafuata 3M. Halafu hiyo 7.8M anaipata mjini (Dar), akiwa kwenye kiyoyozi anapanga na mishe zake nyingine, zikiwemo tender za Tshirts kwa ajili ya Mei mosi ambazo dili lake ni zaidi ya Bilioni moja.

Yani kutengeneza Tshirts za walimu wote wa umma kwa ajili ya Mei mosi, tender yake ni Bilioni. Hapo Katibu Mkuu hajamtafuta mzabuni ampe asante . Sasa huyo utampeleka Kyerwa akakutane na Intarahamwe? Thadei akasema hata kwa bunduki jamaa haendi kuripoti.

Na ndivyo ilivyotokea. Jamaa kagoma bana . Watu walisema ooh hawezi kumgomea Rais, ataenda tu kuripoti. Lakini kaamua kujilipua. Leo alitakiwa aapishwe, lakini badala ya kwenda Kyerwa, ameitisha kikao cha viongozi wa CWT, wapo Tanga. Unyama sana mwaisa .

Wakiwa kwenye kikao Polisi wakaambiwa kuna jamaa kasusia uteuzi wa Rais. Polisi wakaenda kumdaka. Wakamhoji kwa dakika 50 aeleze ni kwanini hajaenda kuripoti Kyerwa. Huwezi kuamini jamaa kawagomea polisi. Kawaambia hawezi kuwajibu swali hilo, atamjibu aliyemteua. Polisi wakaona wanadeal na "chizi" wakamuacha afundishwe na dunia.

#MyTake:
CWT imekua na migogoro sana iliyosababishwa na uongozi. Rais wa CWT, Makamu wake na Katibu mkuu walikua hawaelewani. Rais SSH akaamua kutumia busara kumaliza mgogoro ndani ya CWT. Viongozi wa juu wote akawateua kuwa MaDC.

Rais na Makamu wake wakatii na kwenda kuripoti kwenye wilaya walizopangiwa. Katibu Mkuu kadinda. Anaendelea na majukumu yake ya ukatibu mkuu. Juzi alituma ujumbe kwenye group la whatsapp akisisitiza kuwa yeye bado ni Katibu mkuu wa CWT .

Sasa mwambieni akajisalimishe tu Kyerwa kama anajipenda. Asishindane na Rais wa nchi. Kwa mujibu wa Katiba Rais ana mamlaka ya kuondoa hata huko CWT akabaki tu anazubaa mtaani. Mama mwenyewe alishasema ukimzingua mtazinguana. Sasa asisubiri wazinguane. Ajipeleke Kyerwa kwa speed ya 4G.!
nimecheka Sana ,ajisalimishe kwa speed ya 4G .jamaa kaona 7.8M aiachie hvhv,yaani mshahara wa DC wa miezi 2 na wk 2 kwake ni mshahara wa mwezi mmoja.hapo mtihani!! Ila Kama anabusara na vision angeenda kuripoti kyerwa !!
 
Mkuu hii kauli yako ni kwa Tanzania au nchi za nje?
Rais wa Tanzania ana mamlaka hata kwenye familia yako hapo nyumbani kwako kama unayo.
Rais hawezi kumfanya chochote na wala hana mamlaka ndani ya CWT na akimgusa waalimu wote wanaweza kuandamana.Kwani lazima kukubali teuzi? Hao polisi wajinga wanadhani kila mtu ni mwoga wa bosi wao kwakuwa wao wako choni ya Rais!
?
 
Japhet Maganga Katibu mkuu wa chama cha walimu (CWT) aliteuliwa mkuu wa wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera. Ndugu @ole_mushi akasema MagangThadei Ole Mushi huo uteuzi kwa sababu ana mshahara wa 7.8M kama Katibu mkuu wa CWT, lakini akienda kuwa DC atalipwa 3M.

@ole_mushi akasema, licha ya kwamba Maganga hatokeiThadei Ole Mushiswaa wala Kirua Vunjo lakini anaijua hela. Hawezi kuacha 7.8M akafuata 3M. Halafu hiyo 7.8M anaipata mjini (Dar), akiwa kwenye kiyoyozi anapanga na mishe zake nyingine, zikiwemo tender za Tshirts kwa ajili ya Mei mosi ambazo dili lake ni zaidi ya Bilioni moja.

Yani kutengeneza Tshirts za walimu wote wa umma kwa ajili ya Mei mosi, tender yake ni Bilioni. Hapo Katibu Mkuu hajamtafuta mzabuni ampe asante . Sasa huyo utampeleka Kyerwa akakutane na Intarahamwe? Thadei akasema hata kwa bunduki jamaa haendi kuripoti.

Na ndivyo ilivyotokea. Jamaa kagoma bana . Watu walisema ooh hawezi kumgomea Rais, ataenda tu kuripoti. Lakini kaamua kujilipua. Leo alitakiwa aapishwe, lakini badala ya kwenda Kyerwa, ameitisha kikao cha viongozi wa CWT, wapo Tanga. Unyama sana mwaisa .

Wakiwa kwenye kikao Polisi wakaambiwa kuna jamaa kasusia uteuzi wa Rais. Polisi wakaenda kumdaka. Wakamhoji kwa dakika 50 aeleze ni kwanini hajaenda kuripoti Kyerwa. Huwezi kuamini jamaa kawagomea polisi. Kawaambia hawezi kuwajibu swali hilo, atamjibu aliyemteua. Polisi wakaona wanadeal na "chizi" wakamuacha afundishwe na dunia.

#MyTake:
CWT imekua na migogoro sana iliyosababishwa na uongozi. Rais wa CWT, Makamu wake na Katibu mkuu walikua hawaelewani. Rais SSH akaamua kutumia busara kumaliza mgogoro ndani ya CWT. Viongozi wa juu wote akawateua kuwa MaDC.

Rais na Makamu wake wakatii na kwenda kuripoti kwenye wilaya walizopangiwa. Katibu Mkuu kadinda. Anaendelea na majukumu yake ya ukatibu mkuu. Juzi alituma ujumbe kwenye group la whatsapp akisisitiza kuwa yeye bado ni Katibu mkuu wa CWT .

Sasa mwambieni akajisalimishe tu Kyerwa kama anajipenda. Asishindane na Rais wa nchi. Kwa mujibu wa Katiba Rais ana mamlaka ya kuondoa hata huko CWT akabaki tu anazubaa mtaani. Mama mwenyewe alishasema ukimzingua mtazinguana. Sasa asisubiri wazinguane. Ajipeleke Kyerwa kwa speed ya 4G.!
Nilipoandika humu,kuhusu Diwani Athumani kuugomea uteuzi wa Rais mlinizodoa!

Sasa pia niliandika humu kuhusu Rais Samia kuihujumu CWT kwa kuteua wakuu wa wilaya,viongozi wa CWT ambao tayari wanakabiliwa na tuhuma za ubadhirifu huko CWT!
Sasa ni dhahiri kwamba Mgororo ndio umechukua kasi!
Soma hiyo link iliyoletwa humu leo na member wa JF.
 
Rais hawezi kumfanya chochote na wala hana mamlaka ndani ya CWT na akimgusa waalimu wote wanaweza kuandamana.Kwani lazima kukubali teuzi? Hao polisi wajinga wanadhani kila mtu ni mwoga wa bosi wao kwakuwa wao wako choni ya Rais!
MTanzania gani mwenye uwezo wa kuandama
 
Back
Top Bottom