Hata mimi ningalihama CHADEMA kwa sasa

Hata mimi ningalihama CHADEMA kwa sasa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.

Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi

Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.

Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa chadema inaonekana wanapigania maslahi binafsi ya ntu mmoja mmoja yaani njaa ndio zinawasumbua
 
uko sahihi na unawaza vizuri sana gentleman, kwasabb maisha hayana extra time 🐒
 
Umelezamishwa kwanza una kadi ya Chadema au we ni urojo urojo mix by ass
 
FB_IMG_1746896091403.jpg
 
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.

Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi

Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.

Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa chadema inaonekana wanapigania maslahi binafsi ya ntu mmoja mmoja yaani njaa ndio zinawasumbua
Ungetegemea utashinda kwa Tume ipi unless ukubali kugawiwa majimbo na CCM. Hali ya kisiasa siyo rafiki kushinda tusindanganyane
 
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.

Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi

Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.

Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa chadema inaonekana wanapigania maslahi binafsi ya ntu mmoja mmoja yaani njaa ndio zinawasumbua
Kwa vile huna akili,unafikiri kilichofanyika 2019,2020 na 2024 kitashindikana kufanyika 2025,akili matope ndiyo zinaweza kutarajia kitu tofauti.
 
Njaa zinawasumbua yaani si unaona wananchi hawawajali wala nini, hawana mvuto yaani wanaonekana kama walevi fulani!!!!
 
Sasa mtu mwenye akili ukiwafata utapoteza muda wako
sure,
kwasababu majukumu na malengo ya kila moja hubadilika kadiri muda na umri unavyosonga,

kuongozozwa na kuendeshwa na fikra au matakwa ya mwanasiasa ni utumwa mbaya sana hasa haswa kwenye dunia huru ya leo 🐒
 
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.

Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi

Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.

Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa chadema inaonekana wanapigania maslahi binafsi ya ntu mmoja mmoja yaani njaa ndio zinawasumbua
2020 waliogombea waliishia wapi, 2024 Serikali za mitaa nayo ilikuaje, Unataka kuwaambia waende kucheza mpira ambao refa alishaamua nani awe mshindi hata kabla filimbi ya kuanza mpira haijapulizwa. Acha ubwege
 
Mwaka 2020 hapakuwa na mbunge ,diwani wala mwenyekiti wa serikali za mitaa, uchaguzi wa mwaka huu wameenguliwa wapinzani wote TANZANIA nzima sasa kuna haja gani ya kuingia kwenye uchaguzi kwenye mazingira haya?

Tatizo lenu watanzania ni usahaulifu
 
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.

Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi

Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.

Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa chadema inaonekana wanapigania maslahi binafsi ya ntu mmoja mmoja yaani njaa ndio zinawasumbua
Malaria hawezi kuwa na akili timamu. Ni gonjwa na shetani. Umedhihirisha kwamba wajinga Bado wapo Tanzania
 
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.

Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi

Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.

Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa chadema inaonekana wanapigania maslahi binafsi ya ntu mmoja mmoja yaani njaa ndio zinawasumbua
Vijana tuligombea 2020 hatukutangazwa hapo tumekopa kwa ndugu, mabenki na kuuza ardhi , tukashinda , akatoa kichaa mmoja akaagiza tusitangazwe watangazwe wa chama chake.

Tukavumilia tukagombea tena 2024 tukashindq hatukutangzwa leo mnataka tena tuingie, tupoteze rasimali muda, fedha na watu kisa tu madaraka, vijana tumeishi miaka 5 bila vyeo vya kisiasa na tunaishi kwa furaha mtaani kuliko mliopo mjengoni huko.
 
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.

Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi

Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.

Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa chadema inaonekana wanapigania maslahi binafsi ya ntu mmoja mmoja yaani njaa ndio zinawasumbua

Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
 
Hii ni past tense auto ni future tense?
 
Back
Top Bottom