Mkuu naona hapo wako ulaya kule kwa wazungu maana hizo zakubana bana huwa hazilengani na ka mshahara kangu kaa mkia cha mbuzi na tukisema watupandishie kam mshahara basi hapo ni virungu na mateke na mabomu ya moshi na ziito piga moyo konde rudi nyumbani na msamaha omba haiwe visahani vinagongana na sisi kama kaka zako au wadogo zako tunaumia na kuteseka na maisha aanko rudi rudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.