Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Bora niitwe baba mwenye nyumba na baba mwenye gari kwa kuanza kujenga chumba kimoja.
Utaibiwa hilo gariBora niitwe baba mwenye nyumba na baba mwenye gari kwa kuanza kujenga chumba kimoja.
View attachment 2082684
Opa Nani atahangaika nayo mzee.?
Naambiwa huku kwamba hiyo ni ofisi ya mlinzi litakapokuwa geti kubwa; nyumba main yenyewe msingi ndio huo hapo pembeni. Huu ubunifu Marekani yote anauweza Elon Musk mwenyewe.Hapo chumba kimoja tayari baadae atachimba tena msingi aunge ukuta zaidi hadi nyumba iishe😁😁
^sisi^? Mbona sisi tunajulikana kama DONA KATRI?Dah ujue kweli sisi ni maskini sana