Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!
Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.
Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.
Nawasilisha!!!!!!
Boss mbona hata Mwenge wanabandika tu!!Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!
Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.
Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.
Nawasilisha!!!!!!
si watu muwe mnaangalia thread za kuanzisha, maana si lazima uanzishe thread. whats this now?
kama watu wanatengeneza pesa, kuna lililogumu ZAIDI/Boss mbona hata Mwenge wanabandika tu!!
si watu muwe mnaangalia thread za kuanzisha, maana si lazima uanzishe thread. whats this now?
Yaani wewe ni bonge la kiazi, mimi nilifikiri label ya kununing'inia kama ile ya ngwasuma au twanga! yaani unataka kuniambia kama suit yangu ni French connection au Blazer nikae chini na wembe nianze kubandua kile ki label. Kwa taarifa yako watu wanavaa label sio hilo fabric unaloliona! Unataka kutuambia hata kwenye hizo capelo za kina Jay-Z eti umwambie atowe hiyo NY sio! Wewe wa kishimundu kweliWadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!
Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.
Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.
Nawasilisha!!!!!!
Yaani wewe ni bonge la kiazi, mimi nilifikiri label ya kununing'inia kama ile ya ngwasuma au twanga! yaani unataka kuniambia kama suit yangu ni French connection au Blazer nikae chini na wembe nianze kubandua kile ki label. Kwa taarifa yako watu wanavaa label sio hilo fabric unaloliona! Unataka kutuambia hata kwenye hizo capelo za kina Jay-Z eti umwambie atowe hiyo NY sio! Wewe wa kishimundu kweli
Hii kitu hata mimi Mkulu inanisumbua,Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti eti ili mradi suti yako ionekane ni brand new na haijashonwa mwenge? Nafikiri hili liliwahijadiliwa kwenye michuzi japo sina uhakika hapa JF!
Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.
Hapa ilikuwa ni sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya weekend hii pale Movenpick hotel.
Nawasilisha!!!!!!
unajua sina shida na context ya thread, shida yangu ni mtu anapoamua kuingiza jina la mtu, kwa kesi yako ungesema tujadili kama lebo ya suit inatakiwa itolewe au isitolewe ingeeleweka kwangu lakini ukishaamua kumjadili mtu inakuwa too personal, and you never know may be i am his wife or cousin or.......and btw, suti za kiume naziuza so its not true that iam that much ignorant kuhusu suti za kiume. You can place order through pm just in caseYou must be SHE, ndio maana huoni umuhimu wa hii thread, kwani tunaongelea lebo za kwenye suti za kiume!
unajua sina shida na context ya thread, shida yangu ni mtu anapoamua kuingiza jina la mtu, kwa kesi yako ungesema tujadili kama lebo ya suit inatakiwa itolewe au isitolewe ingeeleweka kwangu lakini ukishaamua kumjadili mtu inakuwa too personal, and you never know may be i am his wife or cousin or.......and btw, suti za kiume naziuza so its not true that iam that much ignorant kuhusu suti za kiume. You can place order through pm just in case
Na kama nimekukwaza, kiustarabu kabisa i am sorry, i didnt mean to!
Yaani wewe ni bonge la kiazi, mimi nilifikiri label ya kununing'inia kama ile ya ngwasuma au twanga! yaani unataka kuniambia kama suit yangu ni French connection au Blazer nikae chini na wembe nianze kubandua kile ki label. Kwa taarifa yako watu wanavaa label sio hilo fabric unaloliona! Unataka kutuambia hata kwenye hizo capelo za kina Jay-Z eti umwambie atowe hiyo NY sio! Wewe wa kishimundu kweli
Wadau, mimi huwa najiuliza kama kuna umuhimu wa kuing'ang'ania hii lebo ya kwenye suti ........
Nimeshangaa kumwona na Celebrity wetu, Maulidi Baraka wa Kitenge, Jezi Namba 9 mgongoni, naye anadunda na lebo kwenye suti yake.
.......