Hata leo pia nimejaa majonzi tele

Pole sana ndugu,jua kuwa wewe si wakwanza kupitia magumu na wala si wamwisho..na futa kabisa wazo lakujiuwa coz wampa nafasi shetani yakujiinua...kaza buti kwenye maombi mafanikio yapo karibu.
 
It might not be easy for everyone to be open about their problems.

nini maana annoymous id???haya nendeni pm mkachart weeeeeeeeeeee.
Mie naona kama anahisi hii id watu wamemjua angekuja na id mpyaaaaa angefunguka weeee kuliko kuleta za pm
 
magumu yamekuwa mengi sana,yan kila ninapoamka matatzo yanayonikabili inakuwa afadhali ya jana,lakini si haba umenipa moyo asante kwa hili

kwa tuliopata neema ya kutambua uwepo wa Mwenyezi Mungu huwa tunaamini kila jambo linatokea kwa sababu maalum...hakunaga bahati mbaya! Na ndugu yangu ukiona umetimiza malengo yako mapema basi ujue hukupangilia vya kutosha....muhimu ni kulay kila kitu vipaumbele vyako kwenye paper na kuvifanyia kazi...katika vile ambavyo utashindwa kukamilisha andika renumeration mbele ya hivyo vipaumbele kisha jiulize ni wapi ulikosea!
 
nini maana annoymous id???haya nendeni pm mkachart weeeeeeeeeeee.
Mie naona kama anahisi hii id watu wamemjua angekuja na id mpyaaaaa angefunguka weeee kuliko kuleta za pm

..... sometimes let us give people the benefit of doubt. He is still in his shell, hajajifunza ku open up. Its not easy for everyone regardless of the anonymity of IDs. Some of us can hide under the cover of being unknown, others simply cant.
 
Reactions: BAK
Pole sana ndugu,jua kuwa wewe si wakwanza kupitia magumu na wala si wamwisho..na futa kabisa wazo lakujiuwa coz wampa nafasi shetani yakujiinua...kaza buti kwenye maombi mafanikio yapo karibu.

nakushukuru kwa kujali nafsi ya mtanzania mwenzio,asante kwa ushauri
 
kwahiyo unataka watu wote tuwe kama yeye au kama wewe?
Nalog off

No, ninachotaka ni ujaribu kuwa sensitive kwa watu wengine. Hajasema ni mapenzi, tayari unamwambia una kitanzi. Haya maisha bwana kama ni mepesi kwako mshukuru Mungu. Huwezi kujua anapitia ugumu gani. Kama huna ushauri wa kumsaidia katika hali inayomkabili please walk away.
 
Reactions: BAK
Namshukuru Mungu kwangu mimi ni mteremko.
Nalog off
 
mkuu bado hujajiua tu? kitu gani kilikufanya uahirishe?. mia
 
nakushukuru kwa kuendelea kuwafafanulia wale walionielewa vbaya,mungu pia awasamehe magumu ninayopitia hayahusiani kwa namna yoyote ile na mapenzi!,ni changamoto zinazohusu upatkanaj wa ajira,na gharama za maisha ni hlo tu
 
..... sometimes let us give people the benefit of doubt. He is still in his shell, hajajifunza ku open up. Its not easy for everyone regardless of the anonymity of IDs. Some of us can hide under the cover of being unknown, others simply cant.

mfundishe kuopen up halafu unaweza kuniambia ana tatizo gani linalomsumbua???
Inshort huyu kijana wako hajajipanga anaweza kuwa anatatizo ila ndo hivho na ataumia sanaaaa sanaaaaa sababu haongei haelezi tatizo.
Ngoja sie wengine turaraneeeee weeee
 
nakushukuru kwa kuendelea kuwafafanulia wale walionielewa vbaya,mungu pia awasamehe magumu ninayopitia hayahusiani kwa namna yoyote ile na mapenzi!,ni changamoto zinazohusu upatkanaj wa ajira,na gharama za maisha ni hlo tu

yaaani upatikanaji wa ajira na gharama za maisha ndo ufikirie kujiua????
Ahaaaa mtu wa Karucee na BAK
 
Last edited by a moderator:
Si lazima uwe ushauri wako na kama huna ushauri mzuri wa kujenga bali kubomoa basi ni bora kukaa kimya. Nadhani umeshasikia watu waliojiua kwa sababu mbali mbali ikiwemo ugumu wa maisha. Sasa mtu anapokuja hapa kutafuta msaada wa matatizo yake yanayomsibu humsaidii lolote pale unapoandika kwamba akijiua atasaidia kupunguza jam. Kumbuka matatizo ya binadamu hayachagui leo kwake kesho kwako. Sijui utasikiaje pale unapokuja hapa kuomba ushauri wa namna ya kupambana na matatizo yako halafu watu wakwambie katafute jengo lenye ghorofa nyingi kisha ujirushe na hivyo kumalizana na matatizo yanayokukabili. Sioni nini ambacho hakieleweki katika aliyoyaandika huyu muanzisha hii thread.

yaaani upatikanaji wa ajira na gharama za maisha ndo ufikirie kujiua????
Ahaaaa mtu wa Karucee na BAK

Unaliona dogo? Kalale madam, ngoja sie tujaribu kumliwaza huyo kijana wetu pepo aondoke.
 
yaaani upatikanaji wa ajira na gharama za maisha ndo ufikirie kujiua????
Ahaaaa mtu wa Karucee na BAK

wewe una kazi pamoja na maisha mazuri na ndo maana hufikirii hayo,unajua daktari anavyoambiwa na mgonjwa kwamba sindano aliyomchoma inauma hawez elewa maumiv yanakuwaje,cku akija kuugua na yeye akachomwa sindano ndo hapo hupata somo na kujua nini maana ya maumiv,mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…