Hata kwa mtutu wa bunduki

Hata kwa mtutu wa bunduki

Jamaa sio kicheche aisee, tunazunguka nae porini sana tu, hajawahi kulala na demu, na ndo mana kadata.....mana akifikiria wana walikua wakimtania siku utakuta mkeo analiwa utakufa wewe, na ndo yametokea kweli!
dah!pole yake basi hana budi
kumtema huyo mke coz kama hajafa
kwa magonjwa bas presure itamuondoa!
 
Jamaa anampenda mkewe kama kitu gani sijui, na kazi zetu ni za research, mara nyingi tupo vijijini ila huwezi mwona jamaa na mwanamke aisee, jamaa anachemka kazi mpaka amepewa warning letter, imembidi amweleze boss ukweli ndo tulipojua linaloendelea, sasa jamaa anataka wapeleke watoto kwa mama yake amwache mwanamke aendelee na maisha yake, hadi huruma arifu!!

na picha anazo.... anasubiri na yeye aunganishwe au?...ana moyo wa chuma huyo....
 
Back
Top Bottom