Midundo
Member
- Mar 3, 2013
- 58
- 12
Kwa uzoefu wangu, mwanamke ni kiumbe ambaye hawezi kukiri kuwa katembea na mtu mwingine hata kwa mtutu wa bunduki, yupo radhi kufa ila sio kufungua kinywa, labda umkute on spot na tena umpige na picha kama ushahidi na still anaweza kusema imetengenezwa. Nasema hivi mana kuna jamaa ofisini hapa amegundua mkewe anatembea na jamaa wawili nje ya ndoa, wana watoto wawili tena wadogo, jamaa anashindwa achukue maamuzi gani mana mwanamke alikana kata kata na jamaa ana picha za mkewe akiliwa na mmoja wa hao jamaa.....swali langu ni hivi, kwanini wanawake huwa hawakubali matokeo, angali mwanaume akiona kimenuka fasta atakiri ukweli