... Hata kwa hawa jamaa BIG RESULTS inahitajika!

... Hata kwa hawa jamaa BIG RESULTS inahitajika!

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
picture-worth-thousand-words.jpg
Hapo dereva aliambiwa na bosi wake aabadilishe hayo maandishi kwa Kiarabu...
Ki mtindo ye akaamua kurahisisha hivyo!
 
Ila kapatia!au unaonaje?
Mmmh, ngoja nijaribu...
Kwa uelewa wa huyo dereva amepatia...
Ila kwa jinsi tajiri alivyokuwa anataka amekosea; kwani jamaa alikuwa anaingia nchi za kiarabu na tajiri akamwambia abadilishe hayo maandishi...
 
Tajiri alikua anataka yale maandishi ya kutoka kulia kwenda kushoto!
 
Back
Top Bottom