Hata kutuma msg ni kazi???

Hata kutuma msg ni kazi???

Van pierre

Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
25
Reaction score
0
Wakubwa hivi hawa watu wanaoshindwa kutuma msg vizuri kwa kutumia simu zao mnawasomaje??!si waombe msaada kwa watu wanaojua wawaelekeze,tatizo la wabongo kujifanya wanajua kila kitu hata kama hawajui!!! Utakuta mtu anakutumia msg kweny simu hata kuweka 'space' anashindwa!!!yeye anayaunganisha tu maneno,basi kusoma inakuwa kazi kweli kweli! Wengine kwenye 'space' wanaweka nukta!!!wengine ful kuchanganya herufi kubwa na ndogo!!hasa akinaMAMA ndo wanachemka sana!si uulize!!!
 
Ipitie tena post yako na ujiulize je! wewe sio mmoja wao?
Fahamu kua hiyo ndio jamii yako ndugu na kama wewe umeelimika sio kigezo cha kuwachukulia kihivyo, tena yawezekana ni kwajuhudi zao ndizo zilizokufikisha hapo ulipo............so u have to behave mkuu..

Kwa imani yangu naamini unao wazungumzia ni watuwako wa karibu au hata inaweza kua ni ndugu zako wa damu.
 
Me siwadharau au vipi!!nnachopenda kuona ni kwamba kama mtu kitu huelewi ni bora uombe uelekezwe,kwani kuna watu wengi tu wanafahamu hivyo vitu!me mwenyewe kuna vitu vingi tu huwa sivielewi katika matumizi ya kompyuta,but watu hunielekeza,baada ya kuwaomba lakini!!!
Ipitie tena post yako na ujiulize je! wewe sio mmoja wao?
Fahamu kua hiyo ndio jamii yako ndugu na kama wewe umeelimika sio kigezo cha kuwachukulia kihivyo, tena yawezekana ni kwajuhudi zao ndizo zilizokufikisha hapo ulipo............so u have to behave mkuu..

Kwa imani yangu naamini unao wazungumzia ni watuwako wa karibu au hata inaweza kua ni ndugu zako wa damu.
 
Soma vizuri majibu ya Criss kisha angalia upya jinsi ulivyoandika kwenye thread yako...
 
Hebu jishangae mwenyewe ulivyoandika, kwenye kiulizo(?) unamalizia na Mshangao (!)
 
nadhani hakuna tatizo lolote ni kiasi cha kuelekezana, tupo pamoja wadau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom