Hata kukucertify uchumba bado ushakua kero daah

unamuogopa?... why umedanganganye... be man, talk to her.....humpendi mwambie, usimpotezee muda wake.....subiri kdg tuu....utasikia sizioni siku zangu............akikwambia hivyo mwambie njoo nikupe zangu...jipange..
 
Ukifika ugenini ukaangaliana na mtoto kisha asipokusalimia jua hiyo sio familia salama
hakuna malezi yaliyo bora wala misingi mizuri,
Unapoweka jambo hadharani kubaliana na uhalisia, then hata ningekuwa nao hapa dada zangu sio mirembe wakakuchukua wewe ili kukutunza
Mkuu kama unakua na ghadhabu hiv kwenye mada tuu za mitandaon sipat picha huko uliko kwenye uhalisia wa maisha..dah take it easy
 
Mtafutie cha kufanya akiwa busy ataacha kukusumbua mfuatane mpaka safari
 
Haya mambo ni kawaida sana kwa wanawake,you are still young nigga
 
unamuogopa?... why umedanganganye... be man, talk to her.....humpendi mwambie, usimpotezee muda wake.....subiri kdg tuu....utasikia sizioni siku zangu............akikwambia hivyo mwambie njoo nikupe zangu...jipange..
Hahahaha
 
Ukifika ugenini ukaangaliana na mtoto kisha asipokusalimia jua hiyo sio familia salama
hakuna malezi yaliyo bora wala misingi mizuri,
Unapoweka jambo hadharani kubaliana na uhalisia, then hata ningekuwa nao hapa dada zangu sio mirembe wakakuchukua wewe ili kukutunza
Duh
 
...me mapenzi ya kugandana gandana ka mafala ndo cyatakagi kabsaaa napenda mtu nimpe space nae anipe space....
 
Mkuu kama unakua na ghadhabu hiv kwenye mada tuu za mitandaon sipat picha huko uliko kwenye uhalisia wa maisha..dah take it easy
download.jpg
 
Back
Top Bottom