Hata kukucertify uchumba bado ushakua kero daah

Hata kukucertify uchumba bado ushakua kero daah

Sio msumbufu tatizo people are so judgemental..sasa ili yasinikute hayo sitakagi kabisa..mie hadi marafiki zangu wananilalamikia siendi makwao..bora waje kwangu au tukutane sehemu basi ....lawama za kijinga sitaki.
[emoji23][emoji23] naomba nije kwako basi
 
Hawa jamaa huwa wanapekua CIA cha mtoto yani kuna siku nimekuta hadi ma document yangu yenye mihuri ya siri kayasoma da nili maindi kinoma
 
She is the right woman to you brother, Trust me.

USHUHUDA: Kuna rafiki yangu alikuwa na utoto mwingi sana kwa wanawake yaani yeye anaweza kulala na mwanamke mara moja tu then harudi tena , Mbaya zaidi alikuwa anawapeleka kwenye nyumba anayoishi. Kuna binti mmoja alikuwa rafiki wa wale wasichana aliowagegeda nadhani alisimuliwa habari za mshikaji na rafiki yake. Hivyo binti alifanya juu chini akabahatika kugegedana na msela . Kama bahati na mimba ikanasa siku hiyo msela alikuwa anapenda sana watoto basi baada ya miezi minne binti akahamia mazima kwa msela.

Binti alijifungua mtoto wa kike shida ipo kwa mshikaji kuvumilia kukaa siku mbili bila kugegeda hawezi so anajikuta halali ndani kuanzia ijumaa hivyo anarudi nyumbani kwake juma tatu asubuhi kwa ajili ya kujianda kwenda kazini. Siku moja binti alinifata na kuniambia kuwa shemeji unajua maisha ya sasa hivi kupata mwanaume akuachie kodi ya meza kila siku na kukuweka ndani shida sana inafika hatua kuna wengine wakipata hizi nafasi hawapo tayri kuziachia hivyo wapo tayari hata kuroga.

Turudi kwenye mada yako huyo binti ninavyo hisi yupo kama huyu wa rafiki yangu anaamini amekupata mtu sahihi hivyo hayupo tayri kukupoteza kwa gharama yoyote ile. Hivyo tulia usimtie jaka la moyo mtoto wa watu.

Au la nawe ukihisi haupo tayari kwa mahusiano ya aina huyo njia nzuri ni kumuacha aende kuliko kumtesa hali yakuwa unajua abisa she is not a woman of your dream. NUKTA.
At least a light is here!
 
Hakuna mwanaume wa tabia kama yako
ungeenda kupost tu insta page za umbea

unamapungufu makubwa mno mkuu
this is personal matters not public
Kwa nyuzi kama hizi wewe inaonyesha ni mtoto sana bado haujakua kabisaaaa
yaani upo foolish age
ila ukikua utaacha upuuzi kama huo
=>Wakuu mbona napendwa sana na ma hausigeli
=>Toka nimwambie kila mtu ashinde mechi zake nyumban kwake,naona yeye ndo anapata tabu sasa
=>Anakuletea zawad za elf60 then keshokutwa anakupiga kizinga cha lak..wanawake kwel znachaj skuhiz
=>Mtoto wa kike tunalumbana kila kukicha unangangania kuhamia kwangu,huon hata noma
=>Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?
 
h
Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake
1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel

2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata kurudisha vzur hawez

3.tumekubaliana mambo ya sim kila mtu na yake ila yeye nikiacha sim dk mbil nakuta kaishika yani..anazuga et anapiga selfie yake camera uwezo mdogo

4.na mambo mengne meeng yanakera
Well,kilichofanya niandike uzi ni hiv nmemdanganya nmesafir kikaz mwez mzima,cha ajabu et anasema anataka aje hukohuko et tukae wote ,yuko serious had ugomv yan,najua anataka kuthibitisha tuu ni kweeli

Hiv mwanamke wa hiv kwel si balaa hil,(bom,linasubir kulipuka hili)

Uzi tayar.
Hapo kwenye kupekua pamenichekesha kweli kweli, ulimpata wapi mkuu
 
Hakuna mwanaume wa tabia kama yako
ungeenda kupost tu insta page za umbea

unamapungufu makubwa mno mkuu
this is personal matters not public
Kwa nyuzi kama hizi wewe inaonyesha ni mtoto sana bado haujakua kabisaaaa
yaani upo foolish age
ila ukikua utaacha upuuzi kama huo
=>Wakuu mbona napendwa sana na ma hausigeli
=>Toka nimwambie kila mtu ashinde mechi zake nyumban kwake,naona yeye ndo anapata tabu sasa
=>Anakuletea zawad za elf60 then keshokutwa anakupiga kizinga cha lak..wanawake kwel znachaj skuhiz
=>Mtoto wa kike tunalumbana kila kukicha unangangania kuhamia kwangu,huon hata noma
=>Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?
u came with evidence of his immaturity...
 
Duh,mkuu povu kali kama huyo dem ni dada ako..hahahah..take it easy..relax..hapa ni jf ...hahah..yan had umeenda kunidukua kabisa..kwel nmekukera.haha
 
Duh,mkuu povu kali kama huyo dem ni dada ako..hahahah..take it easy..relax..hapa ni jf ...hahah..yan had umeenda kunidukua kabisa..kwel nmekukera.haha
Ukifika ugenini ukaangaliana na mtoto kisha asipokusalimia jua hiyo sio familia salama
hakuna malezi yaliyo bora wala misingi mizuri,
Unapoweka jambo hadharani kubaliana na uhalisia, then hata ningekuwa nao hapa dada zangu sio mirembe wakakuchukua wewe ili kukutunza
 
Back
Top Bottom