Hata Kanisa liko makini na jinsia moja

Hata Kanisa liko makini na jinsia moja

Moja ya kazi za kanisa ni kulekebisha na kunyoosha Tabia ya ndani ya mioyo ya watu hivo haina haja, Waacheni MUNGU atawatengeneza.
 
Haipendeki haivitii inatia kinyaa lakini kwa karne na karne imekuwepo. Inahitaji busara kwenda nayo. Mashoga wapo makanisani misikitini je wafukuzwe. Tutazame upya.
naona anglikana wameyafanyia kazi maoni yako sasa na wao wanaruhusu wachungaji mashost na ndoa za jinsia moja
 
Wale walikuwa wamehamisha shughuli zao kanisani kila mtu anajua mtu na mke wanafanyaga nn lakin wakati wakufanya lazima wakae faragha wakifanya barabarani hatutawaelewa kwahiyo ile ilikuwa kufanya kitu sahihi sehemu sahihi,biashara haikuwa dhambi ila dhambi ilikuwa sehemu wanafanyia biashara na sidhani kama alisema wasifanye ibada hapo
Kwa hiyo mashoga,wasagaji kuwa kanisani na kufunga ndoa za jinsia moja kanisani wako mahali sahihi? Ndio sehemu yao sahihi ya ku practice hayo mambo?
 
Busara ndo muhimu, lazima utofautisha mjinga na mpumbavu, kuja kwao kanisani ni sawa na zakayo kupanda juu ya mti kumuona yesu ambaye hahitaji wala haji kanisani
Kanisa haliongozwi na busara za kibinadamu linaongozwa na Neno la Mungu ambalo ni Biblia.Zakayo almfuata Yesu kuungama dhambi hakwenda kwa Yesu kujionyesha kuwa yeye shoga au kupost dhambi zake kwenye mitandao!!! Alienda kuungama dhambi
 
Kanisa haliongozwi na busara za kibinadamu linaongozwa na Neno la Mungu ambalo ni Biblia.Zakayo almfuata Yesu kuungama dhambi hakwenda kwa Yesu kujionyesha kuwa yeye shoga au kupost dhambi zake kwenye mitandao!!! Alienda kuungama dhambi
Akija kuonesha dhambi sawa huna budi kumtoa mm nazungumzia aliyekuja kuabudu
 
Haipendeki haivitii inatia kinyaa lakini kwa karne na karne imekuwepo. Inahitaji busara kwenda nayo. Mashoga wapo makanisani misikitini je wafukuzwe. Tutazame upya.
Huo ujinga mkae nao wenyewe
 
Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga
Ndugu, watu wengi wenye akili timamu wameacha kutengeneza arguments na wewe, ila kuna mambo ni vigumu kuyavumilia. Can you justify your statistics kwamba 98% ya watumishi wa Mungu ni mashoga?
Unaweza kuwaonyesha umma na hasa wasabato wenzio tamko rasmi la Kanisa Katoliki linalotambua masuala ya ushoga?
Kwa ajili yako, tuhuma za ushoga kwa watumishi wa Mungu zipo ndani ya Kanisa Katoliki pekee; au ni mass disaster ?
Kwa aina hii ya chuki kubwa mnayoonyesha wazi dhidi ya Kanisa Katoliki ambalo (ofcourse hamna interest nalo) huku mkijihakikishia utakatifu mbele za Mungu, huwa mnamuhubiri Mungu yupi huyo wa visasi na majivuno?
Niliwahi kuwauliza ndugu zetu wasabato, hivi hamuwezi kuchangia masuala ya kiimani kwenye mitandao pasipo kutukana Kanisa Katoliki? Kanisa liliwakosea nini hasa ?
Imefika mahali mnasema kwamba makanisa yote ni ya kishetani, ila nyie (wasabato) peke ndio watakatifu, are you real serious ?
Siku hizi mmeanza mpaka kutengeneza viblogs kwa ajili ya Kulichafua Kanisa Katoliki.
Naombeni niwaulize swali, kumhubiri Kristo (japo sina uhakika kama mnamuhubiri Kristo) kwa kutukana na kidhihaki imani za watu wengine huo ndio ukomavu wa imani ?
Mnalidhalilisha sana Kanisa lenu kwani tunafika mahali tunaamimi kwamba wenda mafundisho yenu yanafocus zaidi kushambulia imani za watu wengine, na inaonekana nyie hamna shida kabisa na shetani. Shetani wenu ni Roman Catholic. Mkiendelea na tabia hizi, Mungu atawajibu, Mungu hadhihakiwi.
Baada ya kusema haya, nakaribisha matusi mengine dhidi ya Kanisa Katoliki.
 
Back
Top Bottom