Hata Kanisa liko makini na jinsia moja

Hata Kanisa liko makini na jinsia moja

Na wale Yesu aliowatandika makofi hekaluni Na kupindua meza zao na kuwatimua Na kuwaambia nyumba ya baba yake ni nyumba ya Sala sio pango la wahuni walikuwa watakatifu?
Na alipoingia kwa zakayo zakayo alikuwa mtakatifu?
 
Haipendeki haivitii inatia kinyaa lakini kwa karne na karne imekuwepo. Inahitaji busara kwenda nayo. Mashoga wapo makanisani misikitini je wafukuzwe. Tutazame upya.
Kama kuna mashoga CCM basi wasamehewe
 
Tunahitaji nchi tuinyooshe ikae sawa. Bado kuna watu hawajaelewa
 
Haipendeki haivitii inatia kinyaa lakini kwa karne na karne imekuwepo. Inahitaji busara kwenda nayo. Mashoga wapo makanisani misikitini je wafukuzwe. Tutazame upya.
Nisikilize wewe mpuuzi kanisani na msikitini ni sehemu ya kutubu na kuacha kile kisichompendeza mungu!
Halafu lekebisha kauli yako, uliona wapi kanisa linawaumini mashoga katika nchi yetu? Vitabu vya MUNGU vilikuja kwa akili ya wenye dhambi watubu na kumrudia muumba wao' inamana basi shoga anapokwenda kanisani Au msikitini ni kwa ajili kutubu na kuacha laana atendayo lakini usiseme eti " MBONA KANISANI na msikitini kuna mashog! Usituletee laana kwenye nyumba ya ibada na mashoga Wenzio.
 
Kwani yesu alipoingia na kula pamoja na wenye dhambi ilimaanisha amehalalisha dhambi?
Hayo waliongea mafarisayo kuwa Yesu anakula Na wenye Dhambi Na watoza ushuru wa TRA ya enzi hizo.Ni wapi katika Biblia ulishamkuta Yesu Kakaa karamuni akila Na wenye Dhambi? Akila mara nyingi alikuwa Na mitume wake hakuwa mla hovyo.Maneno ya mafarisayo sio maneno ya Mungu huwezi yaamini yaliyosemwa Na mafarisayo kama kitu cha kweli.Wao ndio walisema Yesu si mwana wa Mungu Na ndio walisema hula chakula Na wenye Dhambi Na watoza ushuru.Biblia ukisoma ukikuta farisayo kama Wewe akasema jua hilo neno lake la shetani Na la Uongo.Hilo ni neno kama kilivyotamkwa na mafarisayo sio mitume au Yesu au manabii au wafuasi wake.Wewe ni mfuasi wa dini ya mafarisayo
 
Ngoja niangalie Ile video then nije kukoment
 
Nisikilize wewe mpuuzi kanisani na msikitini ni sehemu ya kutubu na kuacha kile kisichompendeza mungu!
Halafu lekebisha kauli yako, uliona wapi kanisa linawaumini mashoga katika nchi yetu? Vitabu vya MUNGU vilikuja kwa akili ya wenye dhambi watubu na kumrudia muumba wao' inamana basi shoga anapokwenda kanisani Au msikitini ni kwa ajili kutubu na kuacha laana atendayo lakini usiseme eti " MBONA KANISANI na msikitini kuna mashog! Usituletee laana kwenye nyumba ya ibada na mashoga Wenzio.
Ila kwa kweli mtoa mada ananipa wasi wasi...kuna kitu chunguza vizuri...mimi nimesanda
 
Hata papa anaukubali
Hivi ROMA wamewafanya nini wasabato, hebu nipe verified document kutoka Vatican inayoonyesha Papa ameukubali ushoga. Hivi kwa akili yako unafikiri roman Catholic Church ni linaongozwa na maamuzi ya Papa pekee yake, mbona mnajidanganya, Catholic ni taasisi na maamuzi yake yote yanahusishwa waumini wote, kuanzia jumuia ndogo ndogo, jumuia kuu, kigango, parokia, jimbo mpaka Vatican na ndio maana sisi tunawakilishwa na Pengo na kila nchi ina muwakilishi ambaye anabeba maoni ya nchi husika . Usilifananishe Catholic na vikanisa vingine, hebu waangalie Wasabato wenzako huko USA, ambao ndio waanzilishi wa SDA wameanzisha vitengo vya kusapoti ushoga yaani LGBT link hiyo Home
kwa ndio kusema sabato ina sapoti ushoga. Alafu source zenu sijui mnazitoaga wapi, Catholic lina utaratibu wake wakutoa taarifa zake, kumbuka hii ni Internet kila mtu ana uwezo wa kuandika chochote, hata mpumbavu na chuki zake anaweza akaandika ww shoga. Ila ww sababu unaongozwa na chuki zako basi kila habari kuhusu katoliki we kwako unaiona sawa, hauangalii kama source ni verified, Wasabato mnamatatizo.
 
Zakayo aliwahi kuungama Dhambi hata kabla Yesu hajamwambia chochote kasome tena
Busara ndo muhimu, lazima utofautisha mjinga na mpumbavu, kuja kwao kanisani ni sawa na zakayo kupanda juu ya mti kumuona yesu ambaye hahitaji wala haji kanisani
 
Hayo waliongea mafarisayo kuwa Yesu anakula Na wenye Dhambi Na watoza ushuru wa TRA ya enzi hizo.Ni wapi katika Biblia ulishamkuta YEsu Kakaa karamuni akila Na wenye Dhambi? Akila mara nyingi alikuwa Na mitume wake hakuwa mla hovyo.Maneno ya mafarisayo sio maneno ya Mungu huwezi yaamini yaliyosemwa Na mafarisayo kama kitu cha kweli.Wao ndio walisema Yesu si mwana wa Mungu Na ndio walisema hula chakula Na wenye Dhambi Na watoza ushuru.Biblia ukisoma ukikuta farisayo kama Wewe akasema jua hilo neno lake la shetani Na la Uongo.Hilo ni neno kama kilivyotamkwa na mafarisayo sio mitume au Yesu au manabii au wafuasi wake.Wewe ni mfuasi wa dini ya mafarisayo
Vipi kuhusu zakayo vipi kuhusu mwanamke aliyemuosha miguu kwa machozi yake je yesu alimzuia asimguse?
 
Na wale Yesu aliowatandika makofi hekaluni Na kupindua meza zao na kuwatimua Na kuwaambia nyumba ya baba yake ni nyumba ya Sala sio pango la wahuni walikuwa watakatifu?
Wale walikuwa wamehamisha shughuli zao kanisani kila mtu anajua mtu na mke wanafanyaga nn lakin wakati wakufanya lazima wakae faragha wakifanya barabarani hatutawaelewa kwahiyo ile ilikuwa kufanya kitu sahihi sehemu sahihi,biashara haikuwa dhambi ila dhambi ilikuwa sehemu wanafanyia biashara na sidhani kama alisema wasifanye ibada hapo
 
Back
Top Bottom