Hata kama ungekua wewe ni Sabaya lazima ungejitetea alivyojitetea leo

Sabaya kaongea mambo ambayo wala hatukupaswa kujua kama kweli alitumwa na mamlaka. Anamtaja Dkt. Mpango katika sakata lake hata kama anajua kilichompeleka Arusha au Moshi hayakuwa mambo ya kuweka hadharani kwa sasa huyo Mpango ni Rais siyo tena waziri. Asitafute huruma kama ni mission maalumu iishe kwa siri kama ilivyoanza.

Ukitumwa mission ya siri hata kama utakuwa unakufa itunze sirbayai, Sabaya anaogopa kufungwa?
Sabaya hakupita JKT.lijinga kabisa
 
Sikutarajia kama jamaa alivyo mwamba kumbe empty kiasi hicho.

Tokea lini ulijua Sabaya ni mwamba? Huoni ww ndio akili yako ilikudanganya? Jamani, akili si mmepewa na Mwenyezi Mungu, kwann hamtumii kufikiri vema? Mwanadamu yupi tokea dunia imeumbwa akawa Mwamba, yaani yeye ndio yeye, shujaa, au hafanywi kitu, yupi? Eid Amin kafa, Gadaffi kafa, Saddam kafa, Osama kafa, et al, who is mwamba? Ebu acheni IQ ndogo hivyo
 
Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,

kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,

kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale aliyatenda ila kwa maelekezo kutoka kuu, kifuatacho na Rais Samia atatajwa

sasa tunasubiri DR Mpango na Gavana wa Benki muitwe mahakamani kutoa ushahidi,

Ahsanteni
View attachment 1891235
Usitufananishe na huyo Zuzu.
Hapo unaona katoa ushahidi au kadhirisha ujinga wake. Ukitumwa na baba yako dukani kununua chumvi ukafika ukanunua na kwa utundu wako ukamwaga mafuta ya kula hapo dukani lawama zinakwenda kwa baba kwa vile kakutuma dukani?
 
Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,

kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,

kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale aliyatenda ila kwa maelekezo kutoka kuu, kifuatacho na Rais Samia atatajwa

sasa tunasubiri DR Mpango na Gavana wa Benki muitwe mahakamani kutoa ushahidi,

Ahsanteni
View attachment 1891235
Mnao jidai na hicho chama, yanawaingia haya au kunana kitu mnajifunza!?
 
Tokea lini ulijua Sabaya ni mwamba? Huoni ww ndio akili yako ilikudanganya? Jamani, akili si mmepewa na Mwenyezi Mungu, kwann hamtumii kufikiri vema? Mwanadamu yupi tokea dunia imeumbwa akawa Mwamba, yaani yeye ndio yeye, shujaa, au hafanywi kitu, yupi? Eid Amin kafa, Gadaffi kafa, Saddam kafa, Osama kafa, et al, who is mwamba? Ebu acheni IQ ndogo hivyo
Ukijiona akili nyingi sana jua huna kabisa.
Acha kutafuta likes kwa vitu vilivyokuzidi uwezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom