Hata kama umenipa kipigo mumeo simuachi ng'oo

Hata kama umenipa kipigo mumeo simuachi ng'oo

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,463
87dafb5eae34b5bad4b0b6bc4fd04cca.jpg

 
  • Thanks
Reactions: CTX
Inasikitisha sana...

Ajali kazini, kufa gari kufa dereva...

Hiyo inaitwa watabanana hapo hapo...


Cc: mahondaw
 
Hivi kiroho hii ni komeo la roho au la nafsi ? Wajuzi watatuelimisha

Cc: Mshana jr
 
Wanawake mnavumilIan mengI. Unadhani wametokea wapi mpaka hapo walipofika? Yaezekana umeleta kituko lakini yanatendeka hukooo ulayan mwetu.... mjiangalie waibaji maana hakuna anaetaka kuumizwa
 
Huwa nasikia tu wamarekani wamepiga sehemu muhimu lakini sikudhani ni dizaini hii. Duh!! pole sister. kweli unaweza vita
 
waume za watu tunanogaga sana..sikulaumu kwa kauli yako...
cha msingi ni kuwa jasili kama hivyoo...
 
Back
Top Bottom