Hata kama niko ndani ya CCM, nitaziita kuwa hizi ndio siasa uchwara

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
2,732
Points
2,000

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
2,732 2,000
Ukitaka kujua kuwa kuna njama ya waziwazi jiulize kwanini wale wanaohama ndio wanapewa nafasi ya kugombea tena na kuwaacha wafia chama? Nakuapia 2020 Kichaa Jiwe ata-Amber Ruttiwa na Wanalumumba wenzake....time will tell
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,419
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,419 2,000
Ndiyo hata kama nitaitwa majina mengi ndani ya chama kwangu ni sawa tu, haiwezekani jambo lenye ukakasi kama hili likakailiwa kimya eti kisa tu kuwa tutapewa majina mapya kama ilivyo desturi yetu ndani ya chama kuwa kila analosema kiongozi ndani ya chama kiwe ni ndiyo.

Haiwezekani hata kidogo wala sitaki kuamini kuwa chama kimetosheka kupokea wanachama wapya, wala haiingii akilini kuwa upo wakati muafaka wa kuunga mkono jitihada za mwenyekiti na muda mwingine sio muafaka.

Hili ni jambo la ajabu haijapata kutokea. Huyu anataka kutuaminisha kuwa chama hakina haja ya kupokea wanachama wengine wapya, kama sio mbona amelenga kwa wabunge na madiwani ? Tena kwa kutaja tarehe eti 15/12/2018, hapo ndipo ninapo jiuliza maswali mengi.

1: Tuki ambiwa kuwa tulikuwa tukiwanunua na sasa fungu la manunuzi limekwisha tutakataa?

2: Tukiambiwa kuwa chama chetu kimeitia nchi hasara kubwa kwa kuwanunua wabunge na madiwani toka upinzani na hili nalo tutasema tunaonewa?

3: Tukiambiwa kuwa tumetumia vibaya fedha za walipa kodi wa nchi kwa kurudia chaguzi za kutengenezesha tutakataa?

4: Tukiambiwa kuwa chama chetu kimeshiriki kutoa rushwa ya madaraka kwa kuwashawishi wabunge na madiwani kuachia nafasi hizo na kisha tuka wahonga kwa kuwarudishia nyadhifa hizo hili nalo tutasema kuwa tunaonewa ? Nk.

Na ndiyo maana nasema hili jambo lina tia kichefu chefu sana , haiwezekani kuwa chama kikaishiwa mbinu za kuendesha siasa hadi kutuletea ukakasi wa kiwango hiki.

Iwapi CCM yetu ya zamani ambayo viongozi wake wali nadi Sera kwa wananchi na zikakubalika?

Si vibaya juhudi za mwenyekiti wetu kuungwa mkono, lakini kwanini tulishindwa kuwaambia hawa wahamiaji kuwa wamefanya jambo jema ila chama kina utaratibu wake wa kuwateua wagombea katika nafasi hizo walizo kuwa nazo na tuka washindanisha na walio kuwa na sifa za kugombea ndani ya chama ?

Au chama kimeishiwa watu makini na hata uchaguzi wa 2020 tutarajie kuona hamiaji hao hao wakipitishwa kugombea nafasi zao bila ya kupingwa ? Huu ni ukakasi unao zidi ule wa mtu aliye jikamulia maji ya ndimu kinywani.

Tunaitaka CCM yetu ambayo ilitembea kwa hoja zenye nguvu, na sio CCM inayo uogopa upinzani kwa kiwango cha kutisha kama hivi sasa.

Tunaitaka CCM yetu iliyo waandaa viongozi kwa kuptia vyuo vya siasa vya chama na kisha tuka wakomaza kiuongozi kupitia umoja wa vijana wa CCM.

Hatutaki CCM inayo okoteza okoteza wanachama, tena mbaya zaidi wengine walikimbia chama wakati hali ilipokuwa mbaya wakaenda upinzani leo wanarudi tunawaona kuwa wao ni bora kuliko waliovumilia hata katika kipindi ambacho chama kilipitia wakati mgumu.

Na ndiyo maana nasema nikibatizwa jina la namna gani ndani ya chama nitalikubali kuliko kukaa kimya ndani ya siasa uchwara kama hizi ambazo sikushuhudia hata mbunge mmoja wa viti maalum kumuunga mkono mwenyekiti wa chama ni aibu.
Mimi Johnthebaptist nimekuelewa vizuri!
 
MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
3,302
Points
2,000

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
3,302 2,000
CCM wa mitandaoni wana kazi sana kwa kipindi hiki. Pumzi inaelekea kuwakata. Wako chaliiii. Wanakuja kwa kuvizia vizia tu. Hawawezi kujibu hoja zaidi ya personal attack. CCM mitandaoni kwiiiiiiishaaa
 
Timiza

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Messages
5,149
Points
2,000

Timiza

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2017
5,149 2,000
Ndiyo hata kama nitaitwa majina mengi ndani ya chama kwangu ni sawa tu, haiwezekani jambo lenye ukakasi kama hili likakailiwa kimya eti kisa tu kuwa tutapewa majina mapya kama ilivyo desturi yetu ndani ya chama kuwa kila analosema kiongozi ndani ya chama kiwe ni ndiyo.

Haiwezekani hata kidogo wala sitaki kuamini kuwa chama kimetosheka kupokea wanachama wapya, wala haiingii akilini kuwa upo wakati muafaka wa kuunga mkono jitihada za mwenyekiti na muda mwingine sio muafaka.

Hili ni jambo la ajabu haijapata kutokea. Huyu anataka kutuaminisha kuwa chama hakina haja ya kupokea wanachama wengine wapya, kama sio mbona amelenga kwa wabunge na madiwani ? Tena kwa kutaja tarehe eti 15/12/2018, hapo ndipo ninapo jiuliza maswali mengi.

1: Tuki ambiwa kuwa tulikuwa tukiwanunua na sasa fungu la manunuzi limekwisha tutakataa?

2: Tukiambiwa kuwa chama chetu kimeitia nchi hasara kubwa kwa kuwanunua wabunge na madiwani toka upinzani na hili nalo tutasema tunaonewa?

3: Tukiambiwa kuwa tumetumia vibaya fedha za walipa kodi wa nchi kwa kurudia chaguzi za kutengenezesha tutakataa?

4: Tukiambiwa kuwa chama chetu kimeshiriki kutoa rushwa ya madaraka kwa kuwashawishi wabunge na madiwani kuachia nafasi hizo na kisha tuka wahonga kwa kuwarudishia nyadhifa hizo hili nalo tutasema kuwa tunaonewa ? Nk.

Na ndiyo maana nasema hili jambo lina tia kichefu chefu sana , haiwezekani kuwa chama kikaishiwa mbinu za kuendesha siasa hadi kutuletea ukakasi wa kiwango hiki.

Iwapi CCM yetu ya zamani ambayo viongozi wake wali nadi Sera kwa wananchi na zikakubalika?

Si vibaya juhudi za mwenyekiti wetu kuungwa mkono, lakini kwanini tulishindwa kuwaambia hawa wahamiaji kuwa wamefanya jambo jema ila chama kina utaratibu wake wa kuwateua wagombea katika nafasi hizo walizo kuwa nazo na tuka washindanisha na walio kuwa na sifa za kugombea ndani ya chama ?

Au chama kimeishiwa watu makini na hata uchaguzi wa 2020 tutarajie kuona hamiaji hao hao wakipitishwa kugombea nafasi zao bila ya kupingwa ? Huu ni ukakasi unao zidi ule wa mtu aliye jikamulia maji ya ndimu kinywani.

Tunaitaka CCM yetu ambayo ilitembea kwa hoja zenye nguvu, na sio CCM inayo uogopa upinzani kwa kiwango cha kutisha kama hivi sasa.

Tunaitaka CCM yetu iliyo waandaa viongozi kwa kuptia vyuo vya siasa vya chama na kisha tuka wakomaza kiuongozi kupitia umoja wa vijana wa CCM.

Hatutaki CCM inayo okoteza okoteza wanachama, tena mbaya zaidi wengine walikimbia chama wakati hali ilipokuwa mbaya wakaenda upinzani leo wanarudi tunawaona kuwa wao ni bora kuliko waliovumilia hata katika kipindi ambacho chama kilipitia wakati mgumu.

Na ndiyo maana nasema nikibatizwa jina la namna gani ndani ya chama nitalikubali kuliko kukaa kimya ndani ya siasa uchwara kama hizi ambazo sikushuhudia hata mbunge mmoja wa viti maalum kumuunga mkono mwenyekiti wa chama ni aibu.
Chama ni Sacco's ya MTU binafsi we inakuuma nini akifanya ayatayo
 
Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
82,617
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
82,617 2,000
Nami nakuunga mkono hata kama tupo pande mbili tofauti za kisiasa maana umeongea ukweli ambao mtu mwenye akili hawezi kukubeza

Wanataka kutwambia kuwa wabunge wa viti maalum hawavutiwi na utendaji wa kiongozi wa ccm?
Hili wala halina kificho, hiki kinachofanyika ni sanaa za chama tawala, wanaomuunga mh rais ni wabunge na madiwani wa kuchaguliwa tu.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
82,617
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
82,617 2,000
Hongera kwa kuusema ukweli ila jina uchwara unaloogopa litabaki humuhumu jf.Binafsi nilitegemea utahitimisha kwa kuandika jina lako,cheo chako ndani ya chama na hata mawasiliano yako.
Wewe humtakii mema kutokana na kujazana kwa watu wasiyo julikana
 
imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
20,312
Points
2,000

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
20,312 2,000
giphy-1.gif

Ngoja wana CCM wararuane sisi tunasubiri kiti tulichozulumiwa 2015 na wasiojukilina kwa kutukoroga lakini sasa vita nipiganywa na na veterans na mabarubaru akina january Makamba.

Ili huyu raisi ambae hajafunzwa tabia kwao dunia imuonnyeshe unapojenga chochote asilimia kubwa ni msaada mkopo au hela za wananchi,ambao ndio hao mashangazi........tumekuchoka MAGUFULI!
Kweni ni lazima uwe Raisi hata uganga wa kienyeji pia ni kazi kwasababu wewe ni mkuu wa malaika.
 
TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
3,205
Points
2,000

TUTUO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
3,205 2,000
Aliyekupa hii ripoti hakupendi, nakushauri itafute mwenyewe uisome tena vizuri. Ila kwa ufupi hakuna sehemu waliposema hawatapokea wanachama wapya wanaohamia kutoka upinzani ISIPOKUWA baada ya tarehe 15/12/2018 watakaohamia hawatapewa nafasi ya kugombea nafasi walizoziacha upinzani BALI watapokelewa na kuwa wanachama wa kawaida.
Mleta uzi ameuliza kwanini hamkuwashindanisha tangu mwanzo?kuna maana gani kurudia uchaguzi halafu arudi yuleyule aliyekuwa akiongoza ,ndio akasema hii si rushwa ya uongozi au ndo hampeleki maendeleo majimbo yanayoongozwa na upinzani hadi wahamie kwanza chama chenu?
 
Forum statistics

Threads 1,391,600
Members 528,437
Posts 34,085,376
Top