Hata Kama Ni Ubunifu Katika Mapenzi, Hii Imezidi.....

Hata Kama Ni Ubunifu Katika Mapenzi, Hii Imezidi.....

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,932
Hapa ni kutafuta kuvunjana viuno....lol!!
198396_343044639102611_1020209061_n.jpg
 
Kuna Member mmoja alikuja hapa jamvini akasema mbavu na kiuno vinauma kisa eti ali-apply strange style kwene nanihiii, labda inafanana na hii hapa, maana hii nayo unatakia uwe umeshamaliza kuzaa, sijui alikua nani yule alikuja na UZI wa namna hii
 
Jamani hao walikuwa kwenye mapenzi kweli au mazoezi ya sarakasi?
 
Kuna Member mmoja alikuja hapa jamvini akasema mbavu na kiuno vinauma kisa eti ali-apply strange style kwene nanihiii, labda inafanana na hii hapa, maana hii nayo unatakia uwe umeshamaliza kuzaa, sijui alikua nani yule alikuja na UZI wa namna hii
Mambo ya kuleta ubunifu katika mapenzi, unaweza kuvunja viungo...
 
Lord have mercy! Wacha niachike tu! Lolest!
 
Mmm kwa mie nilozowea mbatata za urojo siwezi hata nikijifunza mwaka mzima,bora zile zile nilizofundishwa na bibi enzi zile...
 
Jamaa wako fit,wewe ukijaribu tutakutembelea wodi ya moi
 
Kama hauko fit usijaribu, hii ni kwa portables na wale wasiokuwa na vitambi tu
 
Mhhh walah nami siitaki hiyo, raha iko wapi hapo! Kuumizana tu huko!
 
Hii lazima uwe na background ya SARAKASI....USIJARIBU NYUMBANI KAMA NI MZEMBE KAMA MIMI
 
Hawa walikuwa wanacheza sarakasi tu na midomo ilikutana kwa bahati mbaya tu
 
Back
Top Bottom