Hata Kama Ni Ubunifu Katika Mapenzi, Hii Imezidi.....

Kuna Member mmoja alikuja hapa jamvini akasema mbavu na kiuno vinauma kisa eti ali-apply strange style kwene nanihiii, labda inafanana na hii hapa, maana hii nayo unatakia uwe umeshamaliza kuzaa, sijui alikua nani yule alikuja na UZI wa namna hii
Mkuu, huyo alikua ni Erotica.
Kweli itakua ni style hii hapa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom