Hata kama ni mchina jamani hii balaa sasa

Hata kama ni mchina jamani hii balaa sasa

wengine ndivyo walivyoumbwa na mara nyingi huendana na miili yao lakini wa kichina huwa hayalingani na miili yao

hivo sio kila mtu anatumia mchina
 
Sasa mnafanya utani, Huyu ni Mlemavu wala sio Mchina
 
attachment.php
 
Mvua ikipiga unaweza kujisitiri kwa chini! na usinyeshewe!
 
mbona huyu amezaliwa hivyo hivyo ni kwamba fundi alifaidi wakati wa kupima nguo tu hapo..!
 
Back
Top Bottom