Una maanisha katabia ka kuingiziwa mabomba?
Sisi waswahili huwa tunapenda na kuhusudu vitu vya ulaya sana na kila tukikiona kwenye mabango huwa tunaiga na hasa medume kuvaa mepete na cheni na kutoboa sikio kuweka kipini haya sasa na hii musiache kukopiy au kuiga na hii ni feshini mpya kabisa ni letest kwa hapa bongo
Jamani jamani