Hata kama kitanda hakizai haramu.

Mmmh ,,unanitisha ndugu ,,mke wangu mja mzito bado pregnant lakini siamini kama ni mimi
 
Si vibaya kulea mtoto wa mwemzako pengine na wewe unalelewa wa kwako au nawe ulilelewa na baba si wako....cha msingi lea tu hujui cha kuja kukufaa na kukuzika mbeleni
 
Na kwanini ukae kimya mkuu, yani kabisa unakubali kubambikiwa duuuh
 
Pole sana Mkuu, endelea kule tuu bila kinyongo chochote sababu huwezi kujua ya kesho. Narudia pole sana Mkuu,mjini ujanja upo wa aina nyingi.
 
nikigundua saa 4 kamili mtoto nayelea si wa kwangu saa nne na dakika moja tunamwimbia mtu parapanda.
Umenichekesha sana mkuu wakati hiyo unaanzisha hiyo parapanda kabla ata waitikiaji hawajaitikia na wewe utakuwa tayari kwenye karandika kwenda kunyea debe.
 
Pole sana Mkuu, endelea kule tuu bila kinyongo chochote sababu huwezi kujua ya kesho. Narudia pole sana Mkuu,mjini ujanja upo wa aina nyingi.
Siyo mimi mkuu ujumbe ni kwa wale waliyonayo mioyoni mwao.
 
Tayari hapa kunafuka moshi
 
Umezee ya nini... Chukua mtoto, toka nae kama unaenda kumnunulia kitu, mpange daktari awapime.

Kama si wako, unawaambia kila la heri.
 

Mbona sie tunakubali watoto wa kambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…