Hata kama hali ya maisha ni ngumu lakini sio kwa uongo na utapeli huu...

Msaada anatoa Mungu kwa waja wake. Kama kila muumini ataomba "assist" kanisani itakuaje? Kuamini au kujiunga na nyumba ya ibada isiwe chanzo cha kuonyesha unatatizo na kuhitaji huruma, kwa lugha nyingine waumini wote wamechagua njia mbovu kwa sababu inawanyima fursa na kuwafanya wawe ombaomba.
Kwenye taasisi zetu nyingi za dini ikaaminika kutoa ni thawabu. Ila kutoa kwa mtu sahihi ni jambo jema zaidi.
Sikuhizi wameibuka matapeli wanaotunga story ili waonewe huruma wakati wanachokisema ni sanaa tupu.
Mfano jamaa pamoja na kudanganya sana bado jamaa anashida. Imeshauriwa asaidiwe services sio cash ili apimwe kama kweli kafuata pesa au shida zake ndio zimemleta. Akifuzu hilo Jaribio atapewa kamtaji kama 100K tsh the afungue genge aweze kusimamia familia yake na yeye akishindwa ni shauri yake...
 
Back
Top Bottom