Hata uwe na hela kiasi gani huwezi kumzidi
Bishanga
Hata ukikaa miaka kumi bila kuendesha basikeli (Kama uncle
Kaizer) huwezi sahau how to pedal
Hata uwe mshari kiasi gani (kama
Mphamvu) huwezi kugombana na Mwali
Hata uwe serious kivipi (Kama
Kiranga) huwezi vaa sura ya kazi ukiwa jobless
Hata uwe umekosa idea za biashara (Kama
The Boss) huwezi fungua duka la tatoo south sudan
Hata uwe hodari kiasigani (kama
Husninyo) huwezi osha vyombo vya habari
Hata uwe hujui kiswahili (kama
Fang) huwezi sema ulidhani binti wa mama nitilie anaitwa Nitilie!
Hata uwe na haraka vipi (Kama
Nyani Ngabu) huwezi ruka line VCT
Hata uitwe Uhuru (kama Kenyatta) bado unaweza pelekwa jela ICC
Hapa hata kama utabisha (Kama
Gaijin) huwezi kosa kunigongea like japo kimoyomoyo