Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Aisee Siungi mkono Hii kitu uliosema hapa
Kitu gani huungi mkono mzee?
Aisee Siungi mkono Hii kitu uliosema hapa
Akihamia kabla pia ni poa zaidi. Nitapata nafasi ya kujua kama ningependa kuwa naye maisha yangu yote, ama lah. Kama manzi anastahili mimi kuwa naye, nitakuwa naye tu.
Kwakweli nabeba tu zubeda yangu nahamia ha ha haTeh Teh bora umesema wewe mwenzao! Katika hili hata ungefanya nini halitoweza kubadilika kabisa labda mwanamke kama hajapenda na ana malezi ya aina yake!
Wanawake kila leo wanapewa somo ili lakini haliwaingii kamwe...
Ndio hapo tafiti zinaposema wengi huishia kuachwa hata kama wamezaa na watoto
Kitu gani huungi mkono mzee?
Hiyo Yakutokuwaruhusu Inatunyima fursa mkuu.. Namtamani Rubii Ahamie kwangu hata muda huu
Ndio hapo tafiti zinaposema wengi huishia kuachwa hata kama wamezaa na watoto
Hizo tafiti kwanza zimethibitishwa wapi? Hakuna kanuni za manzi kuolewa bana. Wapo ambao jamii nzima iliamini wasingeolewa kamwe kutokana na sababu kadha wa kadha, ila bado waliolewa. Na wapo waliofuata 'kanuni' zote kitabuni, ila bado wanasugua benchi.
Cha msingi ni kila mtu kufanya anavyojisikia, anapojisikia. Anayetaka kujua kina cha maji kabla ya kuvuka, afanye hivyo. Mwenye ujasiri wa kujitosa kabla ya kujua kina cha maji, afanye hivyo pia.
Aisee Amenikaa na ninaamini Nikiongea nae basi kesho namkaribisha home RasmiHaha. Kubalianeni tu brother. Inavyoonekana ni kama amekubali vile, si unaona ameshalegeza kifungo cha jeans.
umesema kweli ila wengi watakataa au kukupinga kwa sababu zifuatazo:
1> ubishi wa asili kwani wapo watu humu ndani kwa ubishi ni asili yao na hawawezi kuacha.
2> wao ndio watendaji wakuu wa jambo hilo hivyo lazima wapinge kwani wanaamini wapo sawa na wanayotenda.
3> kutokujua thamani ya ndoa hivyo kuona kama jambo lisilo namaana yoyote,wengi wao huumia.
4> imani haba inayofanya kuona ndoa ni kama sarakasi tu.
Laii wangetambua wangejiangalia tu.
Endelea kukaa kwenu wakati wajanja washaolewa na wanaenjoy ndoa bila mahari! Eti kanisani au msikitini, ni msitari upi unahitaji mtu atoe mahari? Life sumple though people complicate it!
Endelea kukaa kwenu wakati wajanja washaolewa na wanaenjoy ndoa bila mahari! Eti kanisani au msikitini, ni msitari upi unahitaji mtu atoe mahari? Life sumple though people complicate it!
Wanawake wengi wako desperate na ndoa so akitokea jamaa akamdanganya kdogo tu,nae kesho anahamia kwa jamaa na mafurushi yake.
Ungekuwa karibu ningekupa visible gift...Kula like10000
Ndoa haina formula
Duu!! Kazi unayo so we unaishi nae bila mahari