Elections 2010 Hata Gazeti la Tanzania Daima Nalo!!!

Mtu66

Senior Member
Jun 26, 2007
165
3
Kwanini hili Tanzania Daima nao wanachelewesha taarifa mtandaoni?
Tanzania Daima - Sauti ya Watu

Bado kuna gazeti la jumatatu, 6 septemba 2010

Au ndo wanasubiri wauze kwanza?

Sisi wengine tuko maporini huku
Tunasakanya nyoka
 
Mimi niko Luanda Angola nategemea mtandao ebu tuwekeeni na sisi tupate taarifa
 
Back
Top Bottom