GE2025 Hata CCM yenyewe imejichoka

GE2025 Hata CCM yenyewe imejichoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,147
Reaction score
829,071
Kilichotarajiwa kuwa tukio kubwa la ufunguzi wa kampeni za CCM.. Kiligeuka karaha kwa wakazi wa Dar hasa wa maeneo yote kuelekea njia za Kawe, Bagamoyo, Bahari beach nknk.

Tukio lililopaswa kuwa na shamrashamra na amsha amsha za kila aina liligeuzwa kuwa taharuki ya kiusalama.

Nikiwa zangu Kwamtogole nilikuwa na safari ya kwenda Kawe Darajani
Kwanza nikaambiwa njia ya chini imefungwa hivyo nikaamua kubet kwa kupitia Sinza then ITV halafu nishukie kuelekea Clouds.

Njia zote nilizopita kulikuwa na kila aina ya askari na nagari ya doria yakiwa yamesheheni askari wenye silaha
Kuingia njia ya Kawe ukitokea Clouds nikakutana na makundi ya watu wamevaa fulana zenye picha ya mgombea wa CCM wakiwa wanatoka Kawe.

Muda huo ilikuwa saa nane na nusu hivi
Nikawaza pengine kampeni za ufunguzi zimebadili uwanja. Kumbe hao watu kwa walienda mapema kisha wakazinguliwa na kuamua kutoroka.

Haikuwa rahisi kuondoka bila kutumia mbinu kali maana watu walizuiwa kuondoka.

Watu wote niliowaona barabarani hawakuwa na nyuso za furaha ni kama wanatoka ama wanaenda kilioni. Hakuna vibe, hakuna shangwe hakuna kuongea kwa sauti kubwa hakuna kutumia simu kupiga picha za kumbukumbu na selfies...!

Wana usalama, askari kanzu na askari wa sare walikuwa wengi mno.... Hali ilikuwa ngumu mno na hata wale waliojaribu kufanya amsha amsha yoyote walinywea nywiii.

Bofaboda na fujo zao barabarani jana walikuwa watiifu kuliko umbwa za polisi.. Wengi walivaalishwa fulana lakini nyuso zao zilionesha ninini kipo mioyoni mwao
Kuna helicopter angani iliyokuwa na bango la kijani lakini nayo ikaonekana kama jicho la mwewe badala ya burudani

Kama uzinduzi wa Dar ulikuwa vile ulivyoonekana jana! Basi huko mikoani ccm wana hali ngumu sana na si ajabu matukio ya zomeazomea yanaweza kuripotiwa kwa baadhi ya mikoa

Uzinduzi wa jana ulikuwa kama kuanua tanga! Hakuna vilio lakini hakuna furaha! Ni huzuni fadhaa na kusikitika
 
Mwenyekiti wao ndiyo alikuwa na Hali mbaya Sana Jana maana Ile Sura yake Tu ilikuwa Inaonesha jinsi gani moyo wake umeinama Kwa mawazo.
Hakuna lolote la maana ameongea juu ya suala la maendeleo ya nchi yaani kwakifupi CCM wenyewe wanajishangaa kwanini wamekata tamaa na chama chao
 
Kilichotarajiwa kuwa tukio kubwa la ufunguzi wa kampeni za CCM.. Kiligeuka karaha kwa wakazi wa Dar hasa wa maeneo yote kuelekea njia za Kawe, Bagamoyo, Bahari beach nknk.

Tukio lililopaswa kuwa na shamrashamra na amsha amsha za kila aina liligeuzwa kuwa taharuki ya kiusalama.

Nikiwa zangu Kwamtogole nilikuwa na safari ya kwenda Kawe Darajani
Kwanza nikaambiwa njia ya chini imefungwa hivyo nikaamua kubet kwa kupitia Sinza then ITV halafu nishukie kuelekea Clouds.

Njia zote nilizopita kulikuwa na kila aina ya askari na nagari ya doria yakiwa yamesheheni askari wenye silaha
Kuingia njia ya Kawe ukitokea Clouds nikakutana na makundi ya watu wamevaa fulana zenye picha ya mgombea wa CCM wakiwa wanatoka Kawe.

Muda huo ilikuwa saa nane na nusu hivi
Nikawaza pengine kampeni za ufunguzi zimebadili uwanja. Kumbe hao watu kwa walienda mapema kisha wakazinguliwa na kuamua kutoroka.

Haikuwa rahisi kuondoka bila kutumia mbinu kali maana watu walizuiwa kuondoka.

Watu wote niliowaona barabarani hawakuwa na nyuso za furaha ni kama wanatoka ama wanaenda kilioni. Hakuna vibe, hakuna shangwe hakuna kuongea kwa sauti kubwa hakuna kutumia simu kupiga picha za kumbukumbu na selfies...!

Wana usalama, askari kanzu na askari wa sare walikuwa wengi mno.... Hali ilikuwa ngumu mno na hata wale waliojaribu kufanya amsha amsha yoyote walinywea nywiii.

Bofaboda na fujo zao barabarani jana walikuwa watiifu kuliko umbwa za polisi.. Wengi walivaalishwa fulana lakini nyuso zao zilionesha ninini kipo mioyoni mwao
Kuna helicopter angani iliyokuwa na bango la kijani lakini nayo ikaonekana kama jicho la mwewe badala ya burudani

Kama uzinduzi wa Dar ulikuwa vile ulivyoonekana jana! Basi huko mikoani ccm wana hali ngumu sana na si ajabu matukio ya zomeazomea yanaweza kuripotiwa kwa baadhi ya mikoa

Uzinduzi wa jana ulikuwa kama kuanua tanga! Hakuna vilio lakini hakuna furaha! Ni huzuni fadhaa na kusikitika
View attachment 3456925
Yaani jana ndio ilikuwa mwisho wa kampeni zao, hata leo watu hawajui kampeni ziko wapi...

Hakika CCM imejifia, kinachowabeba ni ujinga uliopitiliza ndani ya vyombo vya ulinzi
 
Nilizoea kufikiri kuwa Farao ndiye mtawala katili mwenye roho mbaya utadhani ni makamu wa shetani. Kumbe dunia imebeba watawala katili kiasi kwamba Farao ni mgambo tu kwenye tawala zao.
 
Back
Top Bottom