Hata bongo movies wanacopy

Hata bongo movies wanacopy

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Habari za jioni ndugu zangu nimejaribu kuangalia naona kumbe hata bongo movies wanakopy movies sasa changanya changanua hata tunawaita vilaza.... Movie ya wiki hii ni
14 days imekopiwa toka fireproof ya 2008
 
hadi maneno wamekopy dahhhh
 
kwan hiyo 2?, zpo nying wanachofanya ni kubadil lugha na waigizaji
 
Back
Top Bottom