Hata Babu Ambilikile...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata Babu Ambilikile...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamanzi, Mar 15, 2011.

 1. k

  kamanzi Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mpaka ninakwenda mitamboni, nimegundua kuwa Babu wa loliondo ndani ya kama mwezi tu, amekuwa na msaada mkubwa kwa watanzania kuliko Kikwete katika miaka yake takribani 6 ya uraisi. Yaani mkwere ana budget ya nchi, ana majeshi, ana chama, ana mafisadi nyuma yake, hivi majuzi kaanza kutumia dini ili kupata support lakini pamoja na hayo, Babu mchungaji mstaafu Ambi, amempiga tatu bila. Ma kweli rais wetu sifuri.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  huwezi kumlinganisha yule mzee na ****........yule ni mteule...kikwete kajiteua na hana baraka zozote toka juu
   
 3. T

  Tiote Senior Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli nyie ni majuha kwa kulinganisha visivyolinganishika.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani topics nyingine hizi tuwe tunafikiri kabla ya kuandika.
  Sioni mantiki ya kumlinganisha JK na babu wa Loliondo kwani ni watu wawili tofauti.
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  labda kwa umaarufu tunaweza kuwalinganisha, hata wakati wa kifo cha mike jackson alivuma sana watu wakamlinganisha na Obama, mike jackson alikuwa juu zaidi ya Obama hivyo hilo halina ubishi babu vz Kikwete....... babu yuko juu kwa umaarufu!
   
Loading...