Hassan Rouhani First Speech

Hassan Rouhani First Speech

Izz

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
750
Reaction score
322
uploadfromtaptalk1371470304567.jpg
Yuko LIVE sasa kwenye News Channels tofauti duniani. Unaweza fuatilia sasa...
 
Hassan Rouhani : Vikwazo alivyowekewa Iran havina faida yoyote kwa mataifa ya magharibi, ila ni faida kwa Israel!

Hassan Rouhani : Wasyria ndio wataamua mustakabali wao wenyewe na haungi mkono uvamizi wa mataifa ya kigeni nchini humo.

Hassan Rouhani : Atajenga mahusiano mazuri na jumuiya za kimataifa.
 
Nawapenda viongoz wote wenye misimamo na wenye kujua nini wanasimamia. Haki itabaki kuwa haki hata kama dunia nzima itakuwa kinyume na anayesimamia haki, mwisho wa yote haki itashinda
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Back
Top Bottom