Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Hii hongera ya kichawiHongera zake.
Ni fake,,umefurai we mçhawi.Mkanda wa WBO fake au hii hii WBO ya duniani? Yuko kwenye orodha ya websites ya WBO?
Una matatizo makubwa mno. Mimi ni mpenzi wa ngumi na nina uzoefu na haya mambo. Ni kawaida kukutana mabondia wa Tanzania wakishinda mikanda feki ambayo haitambuliki duniani ndiyo maana nimeuliza ni WBO hii hii inayotambulika? Ulichotakiwa kufanya ni kujibu. BTW uchawi ni wewe unaamini, lakini wengine hatuko huko.Ni fake,,umefurai we mçhawi.
Una matatizo makubwa mno. Mimi ni mpenzi wa ngumi na nina uzoefu na haya mambo. Ni kawaida kukutana mabondia wa Tanzania wakishinda mikanda feki ambayo haitambuliki duniani ndiyo maana nimeuliza ni WBO hii hii inayotambulika? Ulichotakiwa kufanya ni kujibu. BTW uchawi ni wewe unaamini, lakini wengine hatuko huko.
Taarifa kutoka kwangu: Hayuko kwenye orodha ya WBO. Nenda kwenye website yao, japokuwa unaonekana lugha gongana!Wewe unayeijua mikanda fake na original ndio tunasubiri taarifa kutoa kwako, usijifanye victim. Uchawi maana yake sio kuruka na ungo.
Huy ndio huyo mghana? Mbona choka hivyo?
Taarifa kutoka kwangu: Hayuko kwenye orodha ya WBO. Nenda kwenye website yao, japokuwa unaonekana lugha gongana!
Hongera mkuuMimi sio lugha gongana bwashee, I can brag here with my high school education, I spit 4 languages fluently. Ukiondoa lugha ya nyumbani kwa bibi, naongea Kiswahili fasaha, I speak English, hablo Español and ik spreek Nederlands. I'm not a homeboy fam.
Divulge the locus of your English erudition. Is it native to your lexicon, or perchance acquired under the tutelage of another pedagogue?"Mimi sio lugha gongana bwashee, I can brag here with my high school education, I spit 4 languages fluently. Ukiondoa lugha ya nyumbani kwa bibi, naongea Kiswahili fasaha, I speak English, hablo Español and ik spreek Nederlands. I'm not a homeboy fam.