Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita hassan gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!
Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!
Oh yes, pia product ya madrassa
Cc Ritz
Hiyo shule namfaham aisee nna hadi kiwanja pale
Kwa nyongeza:
Anaitwa Hassan Bakari Gwaay,
Alihitimu O-level katika Shule ya sekondari Mererani Benjamin Mkapa Secondary school Wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara mwaka 2013 kwa kupata Division I ya point 10.
Hongera kwa walimu wa Mererani Benjamini Mkapa kwa kumpa msingi mzuri Kijana!
Safi sanaMwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita hassan gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!
Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!
Oh yes, pia product ya madrassa
Cc Ritz
Hongera dddhake
Kwa nyongeza:
Anaitwa Hassan Bakari Gwaay,
Alihitimu O-level katika Shule ya sekondari Mererani Benjamin Mkapa Secondary school Wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara mwaka 2013 kwa kupata Division I ya point 10.
Hongera kwa walimu wa Mererani Benjamini Mkapa kwa kumpa msingi mzuri Kijana!
Shule gani ya Kata!?Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita hassan gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!
Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!
Oh yes, pia product ya madrassa
Cc Ritz
Mnyamakazi,Kafaulu kwa kipaji na juhudi zake acha ufinyu wa fikra wewe, madrassa zinafundisha masomo gani kwani hadi useme ni 'product' ya madrassa?