Hassan Gwaay, mwanafunzi kutoka Mirerani aliyeongoza kidato cha sita 2017

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,360
5,474
Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita Hassan Gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!

Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!

Cc Ritz
==========

pic+best+student.jpg

Mirerani. Hassan Gwaay, a Tabora Boys Secondary School student, who has emerged the best science student in the Form Six results announced two days ago, harbours dreams of becoming oil and gas engineer.

Mr Gwaay, who resides at Mirerani township in Simanjiro District, Manyara Region, completed his Ordinary Level studies at Mirerani Benjamin Mkapa Secondary School in 2014. He told this reporter in an exclusive interview at his home village that his dream was to become the first engineer from Mirerani, a famous township for its tanzanite gemstone.

The 19-year-old ambitious boy noted that many people currently had set their eyes on oil and gas, prompting him to also venture in the growing energy sector.

“I have a strategy behind my dream and the Form Six results are just an early indication that I am on my way towards realising what I have planned for myself,” he said.

He said the dream made him study hard and put all his focus and discipline on studies, something which had enabled him to emerge best student in science subjects, which is not a small feat.

“I also enjoy cooperation and support from teachers, my fellow students, members of my family but most important from my grandmother Pili Hussein, who ensures I don’t mess with my studies,” he said.

Mr Gwaay said he learnt of his performance on Friday afternoon through a phone call from one of his schoolmates. “I then went to Elishadai stationary where I confirmed the results myself,” he said adding: “I felt so happy after seeing the results. I received a lot of phone calls from my fellow students, teachers, friends and journalists all congratulating me for the achievement.”

Mr Gwaay attributed the achievement to, among others, his Mirerani Primary School teacher, Mr Abraham Kisimbi, and later Mirerani Benjamin Mkapa Secondary School teacher, Mr Emmanuel Kalo, who had instilled in him the discipline of studying hard.

SOURCE: Citizen
 
Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita hassan gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!

Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!

Oh yes, pia product ya madrassa

Cc Ritz

Kwa nyongeza:

Anaitwa Hassan Bakari Gwaay,
Alihitimu O-level katika Shule ya sekondari Mererani Benjamin Mkapa Secondary school Wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara mwaka 2013 kwa kupata Division I ya point 10.
Hongera kwa walimu wa Mererani Benjamini Mkapa kwa kumpa msingi mzuri Kijana!
 
Ndio wale wale mtakuja mtaondoka bila kuaga wengi waliongoza kitaifa kimkoa wako wapi sasa
 
Kwa nyongeza:

Anaitwa Hassan Bakari Gwaay,
Alihitimu O-level katika Shule ya sekondari Mererani Benjamin Mkapa Secondary school Wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara mwaka 2013 kwa kupata Division I ya point 10.
Hongera kwa walimu wa Mererani Benjamini Mkapa kwa kumpa msingi mzuri Kijana!
Hiyo shule namfaham aisee nna hadi kiwanja pale
 
Mwanafunzi aliyeongoza kidato cha sita hassan gwaay ni moja kati ya tunda bora la shule za kata!

Nadhani sasa dharau dhidi ya shule za kata zitapungua!

Oh yes, pia product ya madrassa

Cc Ritz
Safi sana

Asante JK na Lowassa... mbegu mlizopanda zimeanza kuota
 
Kwa nyongeza:

Anaitwa Hassan Bakari Gwaay,
Alihitimu O-level katika Shule ya sekondari Mererani Benjamin Mkapa Secondary school Wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara mwaka 2013 kwa kupata Division I ya point 10.
Hongera kwa walimu wa Mererani Benjamini Mkapa kwa kumpa msingi mzuri Kijana!
Hongera dddhake
 
Kafaulu kwa kipaji na juhudi zake acha ufinyu wa fikra wewe, madrassa zinafundisha masomo gani kwani hadi useme ni 'product' ya madrassa?
Mnyamakazi,
Huenda hujui lakini imethibitika katika utafiti kuwa madrasa inasaidia
sana watoto wadogo katika ilm ya hifdh, yaani kuweka kumbukumbu
katika kichwa.

Mtoto wa madras akisomeshwa hutakiwa kile alichosoma aweze bila
ya kushika kitabu kukisoma ghibu yaani kutoka kichwani.

Pili na hili ni kubwa sana ni kwa mtoto kufunzwa kumuogopa Mungu
na kuwa mwenye tabia njema.

Tatu mtoto anakuwa mwepesi ya kujifunza lugha yoyote kwa fasaha
na matamshi yenye kupendeza ikiwa atajifunza lugha yoyote ile.

Unaweza ukafanya utafiti wako kuthibitisha hili.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom