Hassan Abbas azuie udhalilishaji wa Waadizabe

Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.

Juzi kuna watu waliwatembelea na kuwapatia bangi na kuwarekodi wakivuta bangi. Wengine wanatoka nchi za nje na kufanya uhuni huu.

Serikali inatakiwa kuchukua hatua kali na kukomesha tabia kama hizi za kuwadhalilisha watanzania. Usasa wa watanzania na watu wengine duniani umewafanya kuamini kuwa watu kama Waadazabe ni watu walipitwa na wakati ambao hawahitaji kuheshimiwa.

Napendekeza serikali ichukue hatua zifuatazo kuhakikisha kuwalinda Waadizabe na makabila mengine ya asili:

1. Kabila la Sentilese huko India ambalo linafanana na Waadizabe lilitungiwa sheria maalum ya kuwalinda na hakuna anayeruhusiwa kuyatembelea bila kibali maalumu.

Walifanya hivyo kuhakikisha mila zao zinalindwa na watu wa magharibi hawatumii fursa ya kuyaona makabila haya kuweka propaganda zao.
Mbona hakuna mhadzabe aliyekuja kulalamika kwako
 
Hivi ni nani manager wao? Au wajanja wanaotafuna vipato vyao. Tangu wageni wameanza kumiminika kwenda kuwatembelea kama wizara ilikuwa imeweka viwango vya mapato Yao wangekuwa mabilionea. Naona kwa Sasa wanafanya maigizo ya wazi wazi na unaona kabisa ni magumashi wanachokifanya hakina uhalisia tena. Wanaletewanyama ameshakufa wanapenda kuweka kichakani na kurekudi kuwa wanamwinda
 
Mbona hakuna mhadzabe aliyekuja kulalamika kwako
Mama yako alienda kulalamika kwa jamaa ndio maana akaleta huu uzi.

Msiwe na mizaha na ujuaji kwa kila jambo. Mambo serious achana nayo kama huna cha kuchangia dogo.
 
Akitokea mtu akakwambia utoke hapo unapoishi ukaishi huko porini mwenyewe unahisi atakuwa amekutendea haki?
Wahadzabe hawajawahi kulalamikia maisha yao wameshazoea na ndo maana unaona wapo fresh tu wanaishi bila shida na wanafuraha.

Kuwafosi kuongia maisha ya kuchangamana na watu wengine kutawaletea shida nyingi zikiwamo za kisaikolojia sababu jamii itawatazama kama washamba na watu wa hovyo na pengine kuwatenga wakati wao walshazoea kuishi wenyewe kwapamoja kwa upendo.
Binadamu wa karne hii anatakiwa kuishi kwenye nyumba bora, maji safi, avae mavazi mazuri, atumie sabuni, akiumwa aende hospitalini na ale chakula bora kilichoandaliwa katika mazingira ya usafi, tofauti na hapo ni kuendekeza ujinga tu.
 
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watu wanaojiita 'content creators' kusafiri kwenda kwenye jamii za Waadzabe na kuwapiga picha na kuchukua video ambazo nyingi za hizo video ni za kuwadhalilisha na kuwaonyesha kama watu ambao hawana ustaarabu na vikaragosi.

Juzi kuna watu waliwatembelea na kuwapatia bangi na kuwarekodi wakivuta bangi. Wengine wanatoka nchi za nje na kufanya uhuni huu.

Serikali inatakiwa kuchukua hatua kali na kukomesha tabia kama hizi za kuwadhalilisha watanzania. Usasa wa watanzania na watu wengine duniani umewafanya kuamini kuwa watu kama Waadazabe ni watu walipitwa na wakati ambao hawahitaji kuheshimiwa.

Napendekeza serikali ichukue hatua zifuatazo kuhakikisha kuwalinda Waadizabe na makabila mengine ya asili:

1. Kabila la Sentilese huko India ambalo linafanana na Waadizabe lilitungiwa sheria maalum ya kuwalinda na hakuna anayeruhusiwa kuyatembelea bila kibali maalumu.

Walifanya hivyo kuhakikisha mila zao zinalindwa na watu wa magharibi hawatumii fursa ya kuyaona makabila haya kuweka propaganda zao.
Ni upumbavu kuwa na serikali inakumbushwa majukumu yake na watu wako nje ya serikali..KM analipwa ili asimamie sekta ya utalii ikiwemo kuzuia vitendo vya kijinga km hivyo wanafanyiwa wahadzabe..mambo yanayotokea mbali nje ya nchi anayaona, yanayofanyika hapa ndani nchini mwake hayaoni..!
 
Binadamu wa karne hii anatakiwa kuishi kwenye nyumba bora, maji safi, avae mavazi mazuri, atumie sabuni, akiumwa aende hospitalini na ale chakula bora kilichoandaliwa katika mazingira ya usafi, tofauti na hapo ni kuendekeza ujinga tu.
Hapo ume assume ila sio ukweli. Hapa nikikuchukua ninakupeleka inchi iliyoendelea baada ya muda utaanza kupata msongo wa mawazo kwasababu sio mazingira uliyozoea na ili kuweza kuadapt unatakiwa ukubalike na mifumo sasa imagine ubaguliwe mifumo haikutaki huku unapambana kublend in. Lazima kuvurugwa.

Hao ni communal society. Mode of production yao ni "hunting and gathering" hao wakiwinda nyati au wakieletewa ng'ombe mkubwa wanapumzika mwezi mzima ni kula na kulala.

Sasa watu kama hawa uwalete kwenye jamii ya kisasa si utawaua kwa msongo wa mawazo.

Hao wagogo tu wakija mjini wanaishia kuwa omba omba maana hawawezi kubadili mifumo yao kujiweka sawa na wenyeji.

Hao hawajaomba msaada wowote ni ninyi viherehere msiojua kufocus na maisha yenu kuanza kuwafuatilia na kuwapa offer za kipuuzi ili muwarekodi mkawatangaze.

Wao wameshazoea kujisaidia vichakani, kukimbizana na ngiri,digidigi, kuvaa ngozi, kula nyani,kenge, matunda pori na ndege pori. Na hawana shida kuishi hivyo mwaana ni utamaduni na asili yao.

Sasa ninyi vimbelembele mnaanza wapelekea soda, mara biriani, mara pizza, kwani waliwaambia wana shida na hizo vitu?

Kama mnaenda kuwasalimia na kuwapelekea nyama sawa. Ila sio kuwabadilishia maisha as if wamewaambia saa hii wanateseka.
 
Akitokea mtu akakwambia utoke hapo unapoishi ukaishi huko porini mwenyewe unahisi atakuwa amekutendea haki?
Wahadzabe hawajawahi kulalamikia maisha yao wameshazoea na ndo maana unaona wapo fresh tu wanaishi bila shida na wanafuraha.

Kuwafosi kuongia maisha ya kuchangamana na watu wengine kutawaletea shida nyingi zikiwamo za kisaikolojia sababu jamii itawatazama kama washamba na watu wa hovyo na pengine kuwatenga wakati wao walshazoea kuishi wenyewe kwapamoja kwa upendo.
Waliopelekwa msomela wametokea arusha mjini..?
 
Hapo ume assume ila sio ukweli. Hapa nikikuchukua ninakupeleka inchi iliyoendelea baada ya muda utaanza kupata msongo wa mawazo kwasababu sio mazingira uliyozoea na ili kuweza kuadapt unatakiwa ukubalike na mifumo sasa imagine ubaguliwe mifumo haikutaki huku unapambana kublend in. Lazima kuvurugwa.

Hao ni communal society. Mode of production yao ni "hunting and gathering" hao wakiwinda nyati au wakieletewa ng'ombe mkubwa wanapumzika mwezi mzima ni kula na kulala.

Sasa watu kama hawa uwalete kwenye jamii ya kisasa si utawaua kwa msongo wa mawazo.

Hao wagogo tu wakija mjini wanaishia kuwa omba omba maana hawawezi kubadili mifumo yao kujiweka sawa na wenyeji.

Hao hawajaomba msaada wowote ni ninyi viherehere msiojua kufocus na maisha yenu kuanza kuwafuatilia na kuwapa offer za kipuuzi ili muwarekodi mkawatangaze.

Wao wameshazoea kujisaidia vichakani, kukimbizana na ngiri,digidigi, kuvaa ngozi, kula nyani,kenge, matunda pori na ndege pori. Na hawana shida kuishi hivyo mwaana ni utamaduni na asili yao.

Sasa ninyi vimbelembele mnaanza wapelekea soda, mara biriani, mara pizza, kwani waliwaambia wana shida na hizo vitu?

Kama mnaenda kuwasalimia na kuwapelekea nyama sawa. Ila sio kuwabadilishia maisha as if wamewaambia saa hii wanateseka.
Wastani wa maisha wa jamii za uwindaji na ukusanyaji kama hao Wahadzabe ni miaka 40, hata bila msongo wa mawazo maisha yao ni duni sana. Sijasema Wahadzabe wapelekwe katika jiji la Arusha, nimesema waache kuishi porini kama wanyama mwitu.
Pia wapo wagogo wa vijijini wenye maisha duni sana, wengine wanaoishi kwa pesa za msaada wa TASAF.
 
Kuna watu wanaishi mijini kwenye huduma za afya bora,wanaishi ndani ya nyumba nzuri, wanakula chakula kizuri ila hawafiki miaka 40 wanakufa kwasababu mbali mbali kama magonjwa, ajali na etc.

Why umetumia umri kama kigezo?

Na naomba uweke au utoe suggestions za namna gani wanatakiwa kufanyiwa au unapendekeza wafanyiwe nini?
 
Back
Top Bottom